Uchaguzi 2020 Kama tungekuwa na uchaguzi wa Rais wa Dunia, Magufuli angeshinda asubuhi!

Mods umefika wakati sasa tuanzishe jukwaa la mataahira hapa JF. Na uzi huu upewe heshima na uwe wa kwanza kuwekwa humo [emoji10]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Ha, ha, ha, nimecheka hadi mbavu zimeniuma! Baba aliniusia, "Ishi uyaone mwanangu." Mara baada ya kusoma uzi huu nikamkumbuka Waziri wa Mawasiliano wa Iraq siku za mwisho wa utawala wa Saddam Husein. Tangu vita vianze aliwaambia Wairaq kupitia media kwamba jeshi la wavamizi wanashika adabu. Lakini walichoshuhudia wananchi Saddam akitolewa shimoni. Si mbaya kuota ndoto za arinacha.

You either create your own box and put yourself in, or someone creates for you and puts you in it. Political matrix.
 
Unatumia nn kufikiri we Jamaaa,
Rwanda walianza hvyo hvyo Kisa nyie praise and worship team.
Hujitambui
 
Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
This is a very low argument. It needs no further comments. How do you compare incompatibles?
 
Habari wana jukwaa.

Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi na mapema na kutawazwa kuwa rais wa dunia.

Rais Magufuli tangu achaguliwe kuwa rais wa Tanzania mwaka 2015 amekuwa akiwaburuza mno marais wenzake kote duniani! Hali hii ilipelekea msomi nguli kutoka Kenya prof Lumumba abatize shughuli na harakati zote za maendeleo za wa Afrika kuwa ni Magufulication of Afrika!

Si Trump, Angel Merkel ,Kagame ,Kenyatta au Putin wote Magufuli amewaburuza kwenye janga la Corona na raia wa nchi zao wanataka Magufuli ndiyo aende akatawale huko.

Kwa sasa Magufuli ni wa kushindanishwa na dunia na siyo hutu tukikaragosi twa mabeberu tu Tundu Lisu.
Rais wa dunia ipi? Mbona huyo rais wako anaonekana kituko sana, hata kwenye uchaguzi wa Burundi asingepita. Ni wewe tu kwa sababu ya your myopic thinking na bangi uliyoivuta inakupa munkari ndiyo unaona hivyo. Kwa taarifa yako huyo Magufuli anadharaulika kuliko kiongozi yeyote duniani...sifa zilimzidi akaliharibu. Alianza vizuri lakini tuliomjua tuliona ni msanii...Na kweli ni msanii asiyekuwa na mpangilio.
 
It so funny ! Wanasiasa na washabiki wasiasa.. wanaompenda mhe. Wanadhani kuwa na nchi zingine huko duniani zinawaza kama tunavyowaza huku tz.
Wamashabikia kama wanavyoshabikia tz.

The truth is very very different out there. Ni nchi nyingi ambazo hazijali wala hazitaki kujua ndani kuna nini kinaendela kwenye siasa za tanzania.
Wana marais huko kwao wanafanya vizuri tu kuliko rais wetu.. wana marais wenye good track za uwajibikaji kuliko jpm.
Lengo si kumpinga mhe rais. Anafanya mengi..
Anafanya kazi nyingi sana na matokeo tunayaona.

Lakin huko nje hawawazi kama tunavyowaza humu ndani. wana mambo yao mengine kabisa.
Kakudanganya nani siasa za Tanzania na Afrika hazifatiliwi endelea kujidanganya
 
Wewe unamfahamu makamu wa Rais wa jumuhiya ya nchi za kiarabu lakini pia ni mfalme wa Dubai.
Huyu ndio aliyeifanya Dubai iwe vile unavyoiona au kuisikia
Sio haya ya vinywani mwa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuhakikishia hata hapa nchini kukiwa na tume huru 30% hafikishi hata mke wake hampigii kura.
 
Rais wa dunia ipi? Mbona huyo rais wako anaonekana kituko sana, hata kwenye uchaguzi wa Burundi asingepita. Ni wewe tu kwa sababu ya your myopic thinking na bangi uliyoivuta inakupa munkari ndiyo unaona hivyo. Kwa taarifa yako huyo Magufuli anadharaulika kuliko kiongozi yeyote duniani...sifa zilimzidi akaliharibu. Alianza vizuri lakini tuliomjua tuliona ni msanii...Na kweli ni msanii asiyekuwa na mpangilio.
Ameharibu kweli kuisambaratisha Sacco's ya Ufipa
 
It so funny ! Wanasiasa na washabiki wasiasa.. wanaompenda mhe. Wanadhani kuwa na nchi zingine huko duniani zinawaza kama tunavyowaza huku tz.
Wamashabikia kama wanavyoshabikia tz.

The truth is very very different out there. Ni nchi nyingi ambazo hazijali wala hazitaki kujua ndani kuna nini kinaendela kwenye siasa za tanzania.
Wana marais huko kwao wanafanya vizuri tu kuliko rais wetu.. wana marais wenye good track za uwajibikaji kuliko jpm.
Lengo si kumpinga mhe rais. Anafanya mengi..
Anafanya kazi nyingi sana na matokeo tunayaona.

Lakin huko nje hawawazi kama tunavyowaza humu ndani. wana mambo yao mengine kabisa.
Pole sana, Rais Magufuli alipokuwa anaongea toka Chato dunia nzima inafuatilia,Dudumizi wa ufipa wakabaki wanapiga kelele eti amejificha?!!!
Wakati Dunia inafuatilia atasema nini Leo, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Siyo kwa akili hizi za waimba mapambio.
Magu mwenyewe anakucheeeka kwa ulivyo na mawazo mgando
 
Tuanze na hapa kwetu kwanza,kuwe na tume huru ya Uchaguzi na uwanja sawa wa shughuli za kisiasa.
 
It so funny ! Wanasiasa na washabiki wasiasa.. wanaompenda mhe. Wanadhani kuwa na nchi zingine huko duniani zinawaza kama tunavyowaza huku tz.
Wamashabikia kama wanavyoshabikia tz.

The truth is very very different out there. Ni nchi nyingi ambazo hazijali wala hazitaki kujua ndani kuna nini kinaendela kwenye siasa za tanzania.
Wana marais huko kwao wanafanya vizuri tu kuliko rais wetu.. wana marais wenye good track za uwajibikaji kuliko jpm.
Lengo si kumpinga mhe rais. Anafanya mengi..
Anafanya kazi nyingi sana na matokeo tunayaona.

Lakin huko nje hawawazi kama tunavyowaza humu ndani. wana mambo yao mengine kabisa.
Mifano tafadhali
 
Pole sana, Rais Magufuli alipokuwa anaongea toka Chato dunia nzima inafuatilia,Dudumizi wa ufipa wakabaki wanapiga kelele eti amejificha?!!!
Wakati Dunia inafuatilia atasema nini Leo, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Unaposema dunia inafuatilia? Unamaanisha marais wote wanaangalia? Unamaanisha wananchi wa dunia nzima wanaangalia?

Tell you what .. mm sio politician wala sina mfungamano na chama chochote cha siasa...but to be honest ,statement yako ni statement isiyo na mashiko.
Why? Wenzetu wanashida zao.. why wa pay attention to tz? What for?
Labda useme nchi za afrika. Lakin si dunia aisee.. hiyo ni overrated statement bro.
 
Kakudanganya nani siasa za Tanzania na Afrika hazifatiliwi endelea kujidanganya
Hajanidanganya mtu. And pls.. ni siasa za tanzania tu. Naongelea siasa za tanzania sio afrika.
And maybe wanafuatilia lakin hawa pay attention because simply hakiwahusu.. wala wao haliwasaidii lolote.
Labda hapa africa. Lakin dunia.. not that much
 
Ila kuna video mabali mbali zikionyesha wananchi wa mataifa maengine wakitaka Magufuli awe rais wao
Hahaha ... video gani hiyo? Na wananchi wa nchi gani wenye muda huo?
And pls usinitajie nchi za afrika. Nataka nje ya afrika.
 
Pole sana, Rais Magufuli alipokuwa anaongea toka Chato dunia nzima inafuatilia,Dudumizi wa ufipa wakabaki wanapiga kelele eti amejificha?!!!
Wakati Dunia inafuatilia atasema nini Leo, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Nani afuatilie upuuzi wa Chato. Nani anamjali huyo Magufuli
 
Unaposema dunia inafuatilia? Unamaanisha marais wote wanaangalia? Unamaanisha wananchi wa dunia nzima wanaangalia?

Tell you what .. mm sio politician wala sina mfungamano na chama chochote cha siasa...but to be honest ,statement yako ni statement isiyo na mashiko.
Why? Wenzetu wanashida zao.. why wa pay attention to tz? What for?
Labda useme nchi za afrika. Lakin si dunia aisee.. hiyo ni overrated statement bro.
Siwezi kukujibu kwa kuwa sijui uwezo wako wa kufuatilia habari za dunia.
 
Back
Top Bottom