Kama tungemsikia Luhaga Mpina na wenye viwanda, leo kilo ya sukari ingekuwa zaidi Tsh 10,000/=

Kama tungemsikia Luhaga Mpina na wenye viwanda, leo kilo ya sukari ingekuwa zaidi Tsh 10,000/=

Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Uchawa ni kiwango cha chini kabisa cha kutumia akili uliyopewa na Mungu..wewe ni mpumbavu kuleta upumbavu na yule alikutuma kuleta upumbavu ni MPUMBAVU pia....
 
Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Elezea sukari ingefikaje 10000 na sio kupiga ramli mkuu
 
Ilikuwa siyo sawa biashara ya sukari kudhibitiwa na wenye viwanda tu hii iliwafanya wazalishe kwa kiwango kidogo na wauze kwa bei ya juu na kisha kuagiza toka nje na kuuza kwa bei waitakayo lakini kwa sasa inawalazimu kuzalisha kwa wingi ili wafanye biashara vinginevyo serikali itatoa vibali kwa wengine waingize mzigo ili kufidia upungufu uliyopo.
 
Back
Top Bottom