Kama tungemsikia Luhaga Mpina na wenye viwanda, leo kilo ya sukari ingekuwa zaidi Tsh 10,000/=

Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Wewe ni sehemu ya majizi ndio maana unmtetea mhabeshi
 
Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Wewe hujui point mhimu ya Mpina.

Hadi wasa bashe anatembelea mule mule alimopiga Mpina .

Bashe ilibidi anae na wenye viwanda watengeneze mpango mzuri.
 
Kwani tatizo Mpina au mfumo wa Serikali ya Chura Chibonge Mama(CCM)
Matwezo, udhalilishaji na matusi kwa mama Samia havifanyi kitu Bali kumidishia neema tu ndo maana Kila anachogusa kinageuka dhahabu. Poleni sana haters na tafadhali endeleeni kutukana kwani vinamsaidia sana.
 
Mkuu sijataja jina la mtu kwenye comment yangu, kuhusu Mama Samia mimi namkubali sana ila chama chake hakina maono.
 
Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Kwani shida ilikua kutolewa vibali au ni utaratibu uliyotumika. Acheni kupotosha ili kuhalalisha ufisadi. Mpina alikua na case speaker akaizima kwa nguvu bila haya kisha bunge likapelekeshwa kumuadhibu mpina bure tu. Wahuni wakiongozwa na speaker wakafanya vitu vyao.
 
Mpaka juzi sukari dukani kwa Muha nimenunua shs 2600. Lakin mwaka jana miezi hii sugar ilikuwa haishikiki. Hongera sana Mama 👃👃
 
Wewe hujui point mhimu ya Mpina.

Hadi wasa bashe anatembelea mule mule alimopiga Mpina .

Bashe ilibidi anae na wenye viwanda watengeneze mpango mzuri.
Mipango gani alikuwa nayo Mpina? Yule ni loser tu ambaye ufalme wake ulikwisha nanlile dude la kutisha Magufuli mwaka 2021
 
Kwani shida ilikua kutolewa vibali au ni utaratibu uliyotumika. Acheni kupotosha ili kuhalalisha ufisadi. Mpina alikua na case speaker akaizima kwa nguvu bila haya kisha bunge likapelekeshwa kumuadhibu mpina bure tu. Wahuni wakiongozwa na speaker wakafanya vitu vyao.
Utaratibu peleka huko Kisesa, sisi tulikuwa tunataka sukari ya bei nafuu kwa njia yeyote. Na sukari ikapatikana, the rest is history
 
Ukitafakari hii nchi mapori yenye rutuba yaliyopo,vyanzo vya maji vilivyopo halafu ukatizama tunavyoingiza shehena ya sukari,mchele,ngano,mafuta ya kula nk kutoka katika vinchi vidogo basi unagundua kwamba kuwa muafrika ni laana.
 
Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Walau kauli ya Mpina imetuwezesha wananchi kuyagundua Majizi.
 
Ukitafakari hii nchi mapori yenye rutuba yaliyopo,vyanzo vya maji vilivyopo halafu ukatizama tunavyoingiza shehena ya sukari,mchele,ngano,mafuta ya kula nk kutoka katika vinchi vidogo basi unagundua kwamba kuwa muafrika ni laana.
Una uhakika?? Kasome comparative advantage theory ya Adam Smith. Nchi inabidi izalishe vile tu ambavyo yenyewe inavizalisha kwa bei ndogo kuliko wengine.
 
Back
Top Bottom