Kama tungemsikia Luhaga Mpina na wenye viwanda, leo kilo ya sukari ingekuwa zaidi Tsh 10,000/=

Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Yaani jamaa alikua tayari sukari iuzwe elfu 10 kuliko iagizwe kutoka nje!! Kwa akili zake hakujua wakiagiza watu wengi ndio bei hushuka?
 
Mkuu hiyo ndiyo HOJA yangu kubwa. Fanya utakachofanya whether unafuata taratibu au unavunja taratibu lakini wananchi wapate sukari kwa bei rahisi.
 
Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Elfu 10 ,kivipi???? Fahamu kuwa haiwezi kufika
 
Weka bei ya sukari tu kutoka duka la mangi la jirani kuanzia Julai 2024. Halafu linganisha na bei ya October 2023 hadi June 2024.

Utaona tofauti, haihitaji rocket science
Kwa taarifa ya kiafya “added sugar” ni adui wa afya. Unapata sukari ya kutosha hata ukiwa unakula ugali, wali hata mkate.

Kahawa ukinywa kavu bila sukari inatunza maini na ni rafiki wa moyo. Uingizapo sukari ndiyo unaharibu kila kitu. Unaweza kutumia asali kwa kiasi ikawa na faida kwa afya kuliko added sugar.

Fala wewe ni kama vile hata shule hukwenda
 
Kwani unataka uishi miaka mingapi wewe bwege? Unadhani usipotumia sukari, wanga na pombe ndiyo utaishi milele??
 
Kuna watu wanapenda ujinga na wameukumbatia hasa. Ila siku hizi uchawa ni tatizo kuliko ujinga.
 
Kwa taarifa ya kiafya “added sugar” ni adui wa afya. Unapata sukari ya kutosha hata ukiwa unakula ugali, wali hata mkate.

Kahawa ukinywa kavu bila sukari inatunza maini na ni rafiki wa moyo. Uingizapo sukari ndiyo unaharibu kila kitu. Unaweza kutumia asali kwa kiasi ikawa na faida kwa afya kuliko added sugar.

Fala wewe ni kama vile hata shule hukwenda
Maisha yenyewe mafupi, unatafuta fedha halafu huwezi kula vizuri!! Kisa nini? Ili tu ufikie umri wa David Musuguri aliyekufa na miaka 104.

Halafu unapewa maisha marefu na unatembea kwa wheel chair na pampas!!

Si heri ujiachie tu hata ufe kati ya miaka 60-70? Lakini hujatembelea wheel chair wala kuvaa diapers
 
Back
Top Bottom