Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Wewe ni sehemu ya majizi ndio maana unmtetea mhabeshiHongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Wewe hujui point mhimu ya Mpina.Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Matwezo, udhalilishaji na matusi kwa mama Samia havifanyi kitu Bali kumidishia neema tu ndo maana Kila anachogusa kinageuka dhahabu. Poleni sana haters na tafadhali endeleeni kutukana kwani vinamsaidia sana.Kwani tatizo Mpina au mfumo wa Serikali ya Chura Chibonge Mama(CCM)
Kwamba mahitaji ako ni sukari pekee?Wafanye ufisadi au wasifanye ila sisi tunataka sukari ya bei affordable, period
Bashe anatumwa kuimba na mazaWewe hujui point mhimu ya Mpina.
Hadi wasa bashe anatembelea mule mule alimopiga Mpina .
Bashe ilibidi anae na wenye viwanda watengeneze mpango mzuri.
Mkuu sijataja jina la mtu kwenye comment yangu, kuhusu Mama Samia mimi namkubali sana ila chama chake hakina maono.Matwezo, udhalilishaji na matusi kwa mama Samia havifanyi kitu Bali kumidishia neema tu ndo maana Kila anachogusa kinageuka dhahabu. Poleni sana haters na tafadhali endeleeni kutukana kwani vinamsaidia sana.
Kwani shida ilikua kutolewa vibali au ni utaratibu uliyotumika. Acheni kupotosha ili kuhalalisha ufisadi. Mpina alikua na case speaker akaizima kwa nguvu bila haya kisha bunge likapelekeshwa kumuadhibu mpina bure tu. Wahuni wakiongozwa na speaker wakafanya vitu vyao.Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
🤣 🤣 🤣luhaga mbina kibaraka wa mabepari wahujumu uchumi hafai kwa lolote hata kuwa mwenyekiti wa kijiji
Mipango gani alikuwa nayo Mpina? Yule ni loser tu ambaye ufalme wake ulikwisha nanlile dude la kutisha Magufuli mwaka 2021Wewe hujui point mhimu ya Mpina.
Hadi wasa bashe anatembelea mule mule alimopiga Mpina .
Bashe ilibidi anae na wenye viwanda watengeneze mpango mzuri.
Utaratibu peleka huko Kisesa, sisi tulikuwa tunataka sukari ya bei nafuu kwa njia yeyote. Na sukari ikapatikana, the rest is historyKwani shida ilikua kutolewa vibali au ni utaratibu uliyotumika. Acheni kupotosha ili kuhalalisha ufisadi. Mpina alikua na case speaker akaizima kwa nguvu bila haya kisha bunge likapelekeshwa kumuadhibu mpina bure tu. Wahuni wakiongozwa na speaker wakafanya vitu vyao.
Walau kauli ya Mpina imetuwezesha wananchi kuyagundua Majizi.Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Hakuna lolote ni ujinga tu unatusumbua, kwamba tumeshindwa kuzalisha sukari wenyewe?Mkuu sukari usiichukulie kirahisi. Siasa zake zilisumbua awamu zote kuanzia wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hadi Magu
Mbona unatetea sn?Angalia results usoangalie process. The end justifies the means
Una uhakika?? Kasome comparative advantage theory ya Adam Smith. Nchi inabidi izalishe vile tu ambavyo yenyewe inavizalisha kwa bei ndogo kuliko wengine.Ukitafakari hii nchi mapori yenye rutuba yaliyopo,vyanzo vya maji vilivyopo halafu ukatizama tunavyoingiza shehena ya sukari,mchele,ngano,mafuta ya kula nk kutoka katika vinchi vidogo basi unagundua kwamba kuwa muafrika ni laana.