Kama tusipoanza kuzijenga nchi za Africa sasahivi, sijui lini tutaanza kujenga

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Ukiwa unasema Tanzania tuko slow kimaendeleo wanakuja machawa wa Samia wanakuambia kama huridhiki basi hama nchi.
WTF! Hivi kwa nini machawa wa Samia mnadhani hii nchi ni yenu peke yenu na Samia wenu? Watu wanataka tubadilike tuwe serious, sio kuhama nchi

Nadhani sasahivi mnaona dunia inavyoenda
USA raia hawataki immigrants, Japan hawataki immigrants, UK hawataki immigrants, nchi kibao za Ulaya hazitaki immigrants
Sure serikali zao hazitaki illegal immigrants, zinataka legal ones only ila kuna raia kibao ambao hawataki tu immigrants at all.

Sasahivi tumeona na South Africa wameanza kufukuza African foreigners, kiufupi watu wengi hawatutaki kwenye nchi zao

Hii ni wakeup call for Africans, we've been playing for 60+ years na tumefail kutengenezea raia wetu maisha bora. Sasahivi tunapaswa kuanza kujenga nchi, vijana wasikimbilie Ulaya kwenda kudhalilika.
Kiufupi nadhani Samia na wenzake hawaelewi hili, hawaelewi kuwa huu sio wakati wa kufanya ufisadi na mauaji tena, akili zao bado zimelala, hawajui dunia inaendaje huko nje. Hawaelewi umuhimu wa Tanzania kuendelea kwa kasi sasahivi kuliko wakati mwingine wowote
 
Mpaka siku africa ipate viongoz wasio na ubinafsi until then nothing will change
 
Back
Top Bottom