Kwa siasa za nchi zetu zilivyo, incumbent president ni kama anateua mtu anayemtaka yeye kuwa mrithi wake. Mchakato wa kuchukua fomu, kujadili wagombe na kupiga kura ni kama utaratibu tu uliowekwa kuhalalisha matakwa ya mwenyekiti.Ukweli mchungu ila ndio kashatiburia wanawake wenzake.
Tumeona wengine wakipinduliwa huko asia,wengine wakifungwa na wengine wamefanya mambo ya ajabu.
Kwa ili wanawake sijui kama mna la kujitetea mlipofikia hapa.
2.kutoka viswani kwa mtindo mliopelekea kwa wabara na kuwabagaza na kuonesha wazi wazi.Hapa ndio muungano tutakapo fikia tamani maana wabara wamejifunza ya kutosha kwa kijiti mlichopewa.
Ni maono 😄
Ni maono 😄Ukweli mchungu ila ndio kashatiburia wanawake wenzake.
Tumeona wengine wakipinduliwa huko asia,wengine wakifungwa na wengine wamefanya mambo ya ajabu.
Kwa ili wanawake sijui kama mna la kujitetea mlipofikia hapa.
2.kutoka viswani kwa mtindo mliopelekea kwa wabara na kuwabagaza na kuonesha wazi wazi.Hapa ndio muungano tutakapo fikia tamani maana wabara wamejifunza ya kutosha kwa kijiti mlichopewa.
Ni maono 😄
Kuna nyakati Tanzania imeletewa Rais kwa kukomoana na uamuzi wa mtu mmoja ambaye kichwani mwake anawaza hamna la kumfanya.kwa tanzania bdo sana kuwa na rais mwanamke sbb kuu ni hatuna taasisi imara ya urais na uslama wa taifa.usalama wetu wa taifa wamejaa vijana wa uvccm
Mimi sioni kama kuongozwa na mwanamke ni tatizo. Tatizo ni aina ya mwanamke na uwezo wake kichwani! Hapa ndipo penye tatizo.Nasita kuitwa mbaguzi ila Tanzania kuongozwa na mwanamke bado sana.
Siongezi neno ila Simba bingwa.Mimi sioni kama kuongozwa na mwanamke ni tatizo. Tatizo ni aina ya mwanamke na uwezo wake kichwani! Hapa ndipo penye tatizo.
Sasa kama hadi leo bado kwenye urais wake inaonekana waliyomzunguka ndio tatizo basi jinsia yake inahusika, tulitakiwa tuone mfano mzuri kutoka kwake ambao ungebadili mitazamo yetu kwenye suala la uongozi na jinsia.Urais sio jinsia,
Mama yetu pamoja na MAPUNGUFU ya kibinadamu waliomzunguka ni wapiga ramri
Over
Yani CCM bado inajihakishia bado itatawala na kubaki madarakaniKwa siasa za nchi zetu zilivyo, incumbent president ni kama anateua mtu anayemtaka yeye kuwa mrithi wake. Mchakato wa kuchukua fomu, kujadili wagombe na kupiga kura ni kama utaratibu tu uliowekwa kuhalalisha matakwa ya mwenyekiti.
Kwamfano; Rais Samia akipendekeza kwa kamati kuu majina yake matano kuwa ni Hussein Mwinyi, Ridhiwani Kikwete, Paul Makonda, Wanu Hafidhi na Bonnah Kalua; unadhani nani hapo atashinda urais?
Aliyesema mwenyenguvu mpishe hakuwa mjinga.
Wewe toka uhuru umeshuhudia uhovyo kama huu?kuhusu jinsia uongozi mzuri ukiutana nao hata mwanamke anaweza kuacha legacy kubwa.angalia hapo namibia sijui botwana tusianze kusema wanawake hawawezi maana dunia imeshawahi kuona viongozi wanaume wakiharibu nchi mpaka wananchi wanakimbia kwa boti...ila kwa hapa kwetu tulijichanganya aseee