baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Mbona Kikwete alishindwa pia Mkapa alishindwaKwa siasa za nchi zetu zilivyo, incumbent president ni kama anateua mtu anayemtaka yeye kuwa mrithi wake. Mchakato wa kuchukua fomu, kujadili wagombe na kupiga kura ni kama utaratibu tu uliowekwa kuhalalisha matakwa ya mwenyekiti.
Kwamfano; Rais Samia akipendekeza kwa kamati kuu majina yake matano kuwa ni Hussein Mwinyi, Ridhiwani Kikwete, Paul Makonda, Wanu Hafidhi na Bonnah Kalua; unadhani nani hapo atashinda urais?
Aliyesema mwenyenguvu mpishe hakuwa mjinga.