Kama uamuzi wa refa jana kati ya Young African na Mamelod ungefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia nguvu ya umma ambayo hakuna askari angeidhibiti

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga.
Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao.
Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
 
Hao waamuzi wamuulize yule mwamuzi mstaafu Izrael Nkongo! halafu atawapa majibu ya mrejesho wa nini kinachotokea pale wananchi wanapohisi wameonewa.
 
Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga.
Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao.
Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
Mngefungiwa na CAF hata miaka 20 hadi ukichaa wenu uishe.
 
Yanga endeleeni kwa Simba siku zote ngoja niwaeleze wa kwanza kulaumiwa pale ni wachezaji wa yanga kabla ya mwamuzi walikuwa Wana uwezo wa kugoma kuendelea na mechi wamshinikize refa akaangalie mwenyewe kwenye VAR lakini hawakufanya hivyo kingine walikuwa na uhakika gani kama masandawa wasingeweza kurudisha goli huenda wangeongeza pia maana tukio limetokea dakika ya 58. Lakini pia hata kwenye hatua ya matuta si wote wamepiga penati sawa ila wamekosa wenyewe!!! Endeleeni kujifunza
 
Hivi si nyinyi ndio mliokuwa mnapokea wageni Simba ikicheza nao, Leo imekuwaje Tena mnawachukia.
 
Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga.
Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao.
Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
Hakuna kitu kama hicho Tanzania. Hayo mambo huwa yanatokea nchi kama Misri ndio maana jana mechi ya Al Ahly na Simba mashabiki walioruhusiwa ni elfu 20 tu.
 
Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga.
Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao.
Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
Watanzania hawapo hivyo unavyo wa brand. Nahisi umekosea na na kuwafananisha na wakenya.
Watanzania hawa waliogeuzwa matutusa na ccm ndiyo wa kusimama na kufanya hayo?
 
Back
Top Bottom