Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi nimefanya maombi kwa kuapia kuwa Mungu asimruhusu Aishi endapo ataiba hata kura moja tu.
 
Wajinga mnajifariji Kwa upumbavu wenu.

CCM Ina wanachama zaidi ya 12mln achilia mbali wapenzi hao wanatoaha kabisa kumchagua Rais 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DFQTRngKRFr/?igsh=MWZwNWNiaWc5MXEyeQ==
 
Yaani kiutani utani tutastukia kweli jamaa anakalia kiti!
Ila nashauri am chaguo Lema kama Campaign Manager wake, ili akishinda basi amwangalizie Wizara moja ampe kama shukurani
 
 
Hizi hoja Chawa wa Chura Kiziwi a.k.a Bi Tozo zinawachukiza na wanaweza kuanza kukuwinda kwa bunduki za SMG aidha wakuteke na kukupoteza au wakuue kabisa...
 
Lissu akishinda uchaguzi nikate Puyugu kulaleki.
 
Kwani walishinda kwa uchaguzi huru au wizi wa kura
 
Ushindi wa TAL ulishatabiriwa na Sheikh yahya so relax. Mama hauziki ndomana anatumia wasanii mno kung'arisha nyota.

WaTanzania washajua future ya nchi ipo kwa nani
 
Zimezidi 100 wewe
 
Hahah
 
Huwaga mnakuwa mmelewa ndio mnaleta hizi taarifa au mpo sobber kabisa
Hakuna aliyelewa, niko na akili timamu,Ccm wanalijua hilo ndio maana kila uchaguzi wanaiba kura na kufanya figisu Hata uchaguzi wa serikali za mitaa wamefanya figisu. Ccm bila figisu ni wa mwisho kwenye uchaguzi 🤣
 
Na huo ndio ukweli japo akina kinembe, lucas, jonpaptist na lumumba wengine wasiojitambua watakuja kukushukia kama mwewe huku wakibubujikwa na machozi ya hasira huku wakijambajamba barabarani wakiwa uchi wa mnyama.
 
Na huo ndio ukweli japo akina kinembe, lucas, jonpaptist na lumumba wengine wasiojitambua watakuja kukushukia kama mwewe huku wakibubujikwa na machozi ya hasira huku wakijambajamba barabarani wakiwa uchi wa mnyama.
Ccm wanalijua hilo suala, ndio maana kila uchaguzi wanaiba kura na kufanya figisu. Mfano uchaguzi wa serikali za mitaa ilibidi wafanye figisu ili washinde. Ila bila wizi wa kura na kufanya figisu kwenye uchaguzi, CCM wanakuwa wa mwisho kwenye uchaguzi 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…