Akilindogosana JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 4,303 Reaction score 12,679 Feb 5, 2025 Thread starter #141 900 Itapendeza zaidi said: kijana kaongea ukweli mtupu maza lazma atashika nafasi ya nne kama uchaguzi ni wa uwazi huru na haki Click to expand... Anaweza Hata kuwa wa mwisho kwenye uchaguzi
900 Itapendeza zaidi said: kijana kaongea ukweli mtupu maza lazma atashika nafasi ya nne kama uchaguzi ni wa uwazi huru na haki Click to expand... Anaweza Hata kuwa wa mwisho kwenye uchaguzi
Akilindogosana JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 4,303 Reaction score 12,679 Feb 16, 2025 Thread starter #142 Irenga said: Una utani labda wapinzani waungane wote kisha washinde kwa 51/48% Click to expand... Bila hata ya wapinzani kuungana. Lissu pekee anaweza akashinda Urais kwa kishindo kikubwa.
Irenga said: Una utani labda wapinzani waungane wote kisha washinde kwa 51/48% Click to expand... Bila hata ya wapinzani kuungana. Lissu pekee anaweza akashinda Urais kwa kishindo kikubwa.
MFALME WETU JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 4,071 Reaction score 10,028 Feb 16, 2025 #143 ukweli mchungu
Sultani Makenga JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 621 Reaction score 1,039 Feb 16, 2025 #144 Lissu akigombea hapati
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Feb 16, 2025 #145 Ondoa neno haki, sema tu uchaguzi huru. Mzee wa goli la mkono kanifundisha mengi.