GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wewe wasema..!!bila shaka unawazungumzia keikeitii
au kuna uchaguzi mwingine tofauti na huo?Wewe wasema..!!
Rushwa imetembea sana hadi Aibu.Ulikuwa ni Uchaguzi wa kimkakati sana!
Kama ni ukweli basi sio sawaUlikuwa ni Uchaguzi wa kimkakati sana!
Bila shaka ni AICT ShinyangaKuna uchaguzi wa askofu wa jimbo fulani ulifanyika mpaka uchawi ulitumika,sisemi uongo mpaka leo ili dhehebu naliangaliaga tu,mara askofu akope ela bank ashindwe kulipa mwisho wa siku waumini ndio tunalipa ili mali za kanisa zisikamatwe na bank yani uku ni majanga matupu
Si yule mkimbizi mwenzio hayati marehemu ndo alofanya hivyo. Popoma waheed wewe.Na bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na Rasilimali za Watanzania na Tanzania?
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Yaani kwenye hili sisemi kitu ingawa nshasema😀Na bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na Rasilimali za Watanzania na Tanzania?
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Tec=gaysNa bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na Rasilimali za Watanzania na Tanzania?
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Inasikitisha Sana Sana, na waumini bado anasali ktk kanisa viongozi wamebeba maroho ya kichawi alafu mtegemee nyie mbebe Roho Mtakatifu? Mjitafakari Sana na safari yenu ya Imani... Msijeachwa kwa kutegemea kanisaKuna uchaguzi wa askofu wa jimbo fulani ulifanyika mpaka uchawi ulitumika,sisemi uongo mpaka leo ili dhehebu naliangaliaga tu,mara askofu akope ela bank ashindwe kulipa mwisho wa siku waumini ndio tunalipa ili mali za kanisa zisikamatwe na bank yani uku ni majanga matupu