Kama Uchaguzi wao umetawaliwa na Rushwa kwa 85% wanapata wapi uhalali wa Kupingana na Tamko la Werevu TEC?

Kama Uchaguzi wao umetawaliwa na Rushwa kwa 85% wanapata wapi uhalali wa Kupingana na Tamko la Werevu TEC?

Ndio njia nzuri kuepusha upandikizaji wa watu.
Sio njia nzuri kwsbb anaweza kuwekwa Mtu asiyekubalika, kwa mfano mtapanyaji wa Mali za kanisa

Ndio maana kuna maombi mengi yanapelekwa kwa Askofu mkuu au Vatican kutaka baadhi waenguliwe
 
Wengi mnakurupuka,Hamjatafakari hotuba ya Dr.Shoo jamaa alimnyoosha mama kisawasawa.
 
Back
Top Bottom