Kama Uchaguzi wao umetawaliwa na Rushwa kwa 85% wanapata wapi uhalali wa Kupingana na Tamko la Werevu TEC?

Na bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na Rasilimali za Watanzania na Tanzania?

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Huna akili popoma
 
Kuna uchaguzi wa askofu wa jimbo fulani ulifanyika mpaka uchawi ulitumika,sisemi uongo mpaka leo ili dhehebu naliangaliaga tu,mara askofu akope ela bank ashindwe kulipa mwisho wa siku waumini ndio tunalipa ili mali za kanisa zisikamatwe na bank yani uku ni majanga matupu
Hili kanisa limekamatwa na kuendeshwa na wahuni.
Viongozi Wenye hofu ya Mungu huwa wanaandamwa na kutwezwa sana.
 
Na bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na Rasilimali za Watanzania na Tanzania?

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
We si ulisema magfuli alishinda kihalali?
 
Kuna uchaguzi wa askofu wa jimbo fulani ulifanyika mpaka uchawi ulitumika,sisemi uongo mpaka leo ili dhehebu naliangaliaga tu,mara askofu akope ela bank ashindwe kulipa mwisho wa siku waumini ndio tunalipa ili mali za kanisa zisikamatwe na bank yani uku ni majanga matupu
Mchungaji wako anakwambia ulindwe na amani ya bwana ila yeye analindwa na security group
 
Na bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na Rasilimali za Watanzania na Tanzania?

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Wakubwa wa TEC nao walihusika kwny kashfa za Escrow na matumizi mabaya ya fedha za ruzuku wanazopokea toka Serikalini bila ya kusahau matumizi mabaya ya misamaha ya kodi kwa kutumika kama uchochoro wa Wafanyabiashara wasio waaminifu
 
Mchungaji wako anakwambia ulindwe na amani ya bwana ila yeye analindwa na security group
Wengine wanatuambia tusishirikiane na CCM wakati wao kwny harusi za watoto wao Kamati nzima ya harusi na ma group ya harusi wamejaa CCM kuliko Makamanda wenzao
 
Na bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na Rasilimali za Watanzania na Tanzania?

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Huyu ni Mwanaume Mtu mzima mwenye zaidi ya miaka 60, anasujudia na kubusu plastic iliyopigwa polish na kuamini ni mama wa Mungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

20230824_084048.jpg
 
Na bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na Rasilimali za Watanzania na Tanzania?

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Mandumilakuwili mpo?
 
CCM WALIIBA UCHAGUZI NA KKKT WAMEIBA UCHAGUZI YANI MAJIZI YA KIROHO YAMEUNGANA NA MAJIZI YA KISIASA.😭😭😭😭😭😭
 
Hakuna Demokrasia Roman na hakuna Uchaguzi

Wao wanasubiri papa ndio ateue

Ulishaona uchaguzi wa Roman Catholic Church hata siku moja?
Ndio njia nzuri kuepusha upandikizaji wa watu.
 
Mfumo wa Waroman wa Kuchagua viongozi wao umekaa poa sana.
Na ndiyo maana Waroma ( Roman Catholics ) ndiyo Werevu kuliko hao Wengine wenye Rushwa, Uwizi wa Mali na Uchawi.
 
Back
Top Bottom