sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
SawaSuala la sex lina uzito sana ndani ya ndoa hasa kwa mwanaume ambae kaumbwa na matamanio makubwa kwenye ya libido / sex drive.
Unapoona mwenzako uchumbani kwenye suala la mchezo ni mpaka ajivute vute, hadi umuhonge, umbembeleze sana na pengine hana hisia kwenye sex basi huyo ni wa kupiga na kusepa, usije fanya kosa la kumuoa, usijiroge uingie nae kwenye ndoa.
Yapendeza kumuoa mwanamke ambae ana feeling na wewe wakati wa mtetemo, sometimes yeye ndie anaku tease muingie kwenye mtetemo, n.k.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Ni kweli mkuu. Mwanamke aliyeko ndani ya ndoa, siku zote ni malaya kwa mumewe. Anatakiwa kujiweka tayari mda wowote kwaajili ya mumme.Akiitaka Sana Tunasema Huyu Sio Wa Kuoa Ni Malaya.Mwanamke Anayependa Dyudyu Ndo Wife Material Pia Huwa Wanajal Sana Sio Wa Hawa Wa "Ingiza Ukimaliza Unifunike"
Nili fanya hilo kosa mpaka leo najutia lina nitesa sana kuchepuka sija zoea naona hasara nyingi kuliko faida