Kama Uhamiaji matendo ndio kama hayo. Je Nchi yetu ni salama kiasi gani?

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.

Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.

Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
 
Nchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.

Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
 
Ni kweli Hayati Magufuli alikuww anatufaa lakini akiwa pekee yake asingeweza bila kuweka mifumo imara.
 
Kabisa kaka.

Ndio maana timu yake sasa hivi inapukutika kwa sababu alikuwa one man army,

na kila ambaye alikuwa anabweka alitegemea nguvu ya magufuli na sio nguvu ya taasisi bila kujua kwamba magufuli ataondoka na taasisi itabaki.

Magufuli angelitengeneza taasisi imara na kuweka watu sahihi ila tatizo kuweka taasisi imara lazima raisi ukubali kujipunguzia power jambk ambalo raisi aliye madarakani hawezi kukubali
 
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.

Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.

Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?

Kabisa kaka.

Ndio maana timu yake sasa hivi inapukutika kwa sababu alikuwa one man army,

na kila ambaye alikuwa anabweka alitegemea nguvu ya magufuli na sio nguvu ya taasisi bila kujua kwamba magufuli ataondoka na taasisi itabaki.

Magufuli angelitengeneza taasisi imara na kuweka watu sahihi ila tatizo kuweka taasisi imara lazima raisi ukubali kujipunguzia power jambk ambalo raisi aliye madarakani hawezi kukubali
Eehee now you get me.
 
Lakini haya mambo hayajaanza leo
Inajulikana wazi kua muhindi au muarabu atapata viza kiurahisi kuliko mtanzania mweusi
Hata vitambulisho vya uraia
Anapata mgeni kiwepesi kuliko mzawa
It's pitty
Lakini ndio nchi yetu, tunasukuma siku ili muda wetu ufike tujifie
Inatia hasira lakini hatujui cha kufanya
 
Si kwa sababu anatoa chochote? Hii nchi imeoza
 
Nchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.

Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
Mtu mmoja hawezi kufanya kila kitu. Hata awe mkali na mzuri kiasi gani. Tubadilishe mifumo yetu ya utawala. Kuna nchi hazina ufisadi mkubwa kama Finland, Norway nk. Kwa nini tusijifunze kutoka huko?
 
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.

Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.

Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Hili wala halinishangazi. Kama mtu umeshapita pale airport kwenye utoaji wa viza na ni mchunguzi lazima utagundua kitu. Wafanyakazi wa pale wamekaa kipigaji pigaji na kuna harakati nyingi zinaendelea zinazotia mashaka.
 
Mtu mmoja hawezi kufanya kila kitu. Hata awe mkali na mzuri kiasi gani. Tubadilishe mifumo yetu ya utawala. Kuna nchi hazina ufisadi mkubwa kama Finland, Norway nk. Kwa nini tusijifunze kutoka huko?
Kitendo cha Mahakama, Bunge, Jeshi na Vyombo vingine kutegemea Entirely Rais akiyeko madarakani basi tutarajie hakitakuja kufanyima kitu cha maana nchi hii.

We need System reform
 
Kabisa kabisa. Na mbaya sasa hivi wizi na ufisadi ndiyo umerudi kuliko wakati mwingine wowote. Samia haiwezi hii nchi.
 
Nchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.

Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
Magufuli tutamkumbuka sana japo naye alikuwa na mapungufu mengi lkn kwasasa tutakoma
 
Nchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.

Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
Sawa ila haya yalitokea pia wakati wa Magufuli. Hii ripoti ni ya 2020/21. Ukweli ni kuwa upigaji Uhamiaji umekuwepo siku nyingi pamoja na kuwekewa mifumo ya ulipaji. Wafanyakazi kwy viwanja vya ndege ni kawaida kabisa kuwaambia wageni mfumo uko down hivyo wanalipa manually. Hapo unategemea nini kama ndege imeingia usiku mkubwa.
 
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.

Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.

Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Mkuu 'Pythagoras' hili li-nchi tunaelekea kwenye kugonga mwamba kwa spid ya 'mach 5', nadhani itakapokuwa hivyo, watakaokuwa wamesalimika kutokana na janga hilo, nchi watainyoosha iende kwa mwelekeo unaojulikana.

Ninaamini kuna jambo kubwa litakalotokana na uozo huu unaoendelea kila sehemu nchini.

Imekuwa ni vigumu kabisa sasa kuitolea mfano mzuri sehemu yoyote serikalini. Kila mahali ni uozo tu!
 
Nchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.

Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
Magufuli alikuwa haruhusu majadiliano ya hoja na maoni tofauti
 
Back
Top Bottom