Kama Uhamiaji matendo ndio kama hayo. Je Nchi yetu ni salama kiasi gani?

Sawa ila haya yalitokea pia wakati wa Magufuli. Hii ripoti ni ya 2020/21. Ukweli ni kuwa upigaji Uhamiaji umekuwepo siku nyingi pamoja na kuwekewa mifumo ya ulipaji. Wafanyakazi kwy viwanja vya ndege ni kawaida kabisa kuwaambia wageni mfumo uko down hivyo wanalipa manually. Hapo unategemea nini kama ndege imeingia usiku mkubwa.
Lakini, si kama pangekuwepo na ufuatiliaji mzuri (uongozi), hili lingeonekana kesho yake tu na wahusika kuchukuliwa hatua? Jambo kama hili halijifichi, lipo wazi kabisa, ni kipi kinashindikana kukomesha uozo kama huu kama nia njema ya kukomesha ipo!
 
Mkuu 'Pythagoras' hili li-nchi tunaelekea kwenye kugonga mwamba kwa spid ya 'mach 5', nadhani itakapokuwa hivyo, watakaokuwa wamesalimika kutokana na janga hilo, nchi watainyoosha iende kwa mwelekeo unaojulikana.

Ninaamini kuna jambo kubwa litakalotokana na uozo huu unaoendelea kila sehemu nchini.

Imekuwa ni vigumu kabisa sasa kuitolea mfano mzuri sehemu yoyote serikalini. Kila mahali ni uozo tu!
Kila mahali uozo mtupu
 
Mtu mmoja hawezi kufanya kila kitu. Hata awe mkali na mzuri kiasi gani. Tubadilishe mifumo yetu ya utawala. Kuna nchi hazina ufisadi mkubwa kama Finland, Norway nk. Kwa nini tusijifunze kutoka huko?
Samahani.

Kwa watu tulionao hapa sasa hivi, na jinsi jamii ya kiTanzania ilivyopinda kutokana na hali hii, haiwezekani kuiga mtindo wa nchi hizo kuuleta hapa na kufanikiwa.

Hapa panahitaji mtikisiko mkubwa kwanza utokee, halafu matokeo yake ndiyo yatakayozaa hali hiyo ya Finland na Norway.
 
Lakini, si kama pangekuwepo na ufuatiliaji mzuri (uongozi), hili lingeonekana kesho yake tu na wahusika kuchukuliwa hatua? Jambo kama hili halijifichi, lipo wazi kabisa, ni kipi kinashindikana kukomesha uozo kama huu kama nia njema ya kukomesha ipo!
Kila mwaka kelele za CAG bila hatua yoyote inayochukuliwa.
 
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.

Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.

Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Mama anaupiga mwingi
 
Ccm ni laana!
 
Kila mwaka kelele za CAG bila hatua yoyote inayochukuliwa.
Nilitaka kuliandikia hili, naona na wewe lilikuwa ndani ya mawazo yako.

Kwa hiyo fikiria hili. CAG kila mwaka anatoa madudu anayaanika nje, lakini hakuna anayestuka juu yake. Si Rais, wala msaidizi wake mwingine yeyote.

Na jinsi nchi yetu ilivyokaa, hakuna raia yeyote anayeweza kusimama na kulipigia kelele akasikilizwa.

Kwa hiyo mtu inabidi kujiuliza: hivi zoezi hili la CAG kila mwaka, lengo lake hasa ni nini?

Kunatakiwa siku moja awepo kiongozi atakayesimama na kusema waziwazi, kwamba atafanyia kazi yote yatakayotolewa na ripoti ya CAG, na kweli akaonekana anayafanyia kazi bila ya kupepesa macho.
Tukianzia hapo, na kila mwaka kukafanyika kazi inayoonekana kuhusu ripoti ya CAG, nina hakika ni hatua muhimu tutakuwa tumeipiga kwenda mbele.
Utakuwa ni mwanzo mzuri.

Lakini kwanza ni kumpata kiongozi wa namna hiyo, halafu aweke mifumo ya kuhakikisha mambo kama haya yanatimizwa kwa kufuata sheria zitakazokuwepo kuyashughulikia.
 
Hii tutolee uzi maalum leo asubuhi. Maana naona tunachezewa akili.
 
Samahani.

Kwa watu tulionao hapa sasa hivi, na jinsi jamii ya kiTanzania ilivyopinda kutokana na hali hii, haiwezekani kuiga mtindo wa nchi hizo kuuleta hapa na kufanikiwa.

Hapa panahitaji mtikisiko mkubwa kwanza utokee, halafu matokeo yake ndiyo yatakayozaa hali hiyo ya Finland na Norway.
Ni kweli kabisa wala sikupingi. Kule kuna ustaarabu ambao watu wake wanao na ukijaribu kuleta mambo mengine ya kule huku kwetu, kwenye ushenzi wa kila aina itakuwa ni disaster. Ila tunaweza kufanya modification kubwa kulingana na mazingira yetu, yaani tusikopi na ku paste. Mimi hili la kulundika madaraka kwa mtu mmoja anayeitwa rais naona linatakiwa lifanyiwe kazi haraka sana sana. Kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo tunavyopata marais wabovu. Ni hatari sana kuwalundikia madaraka.
 
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.

Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.

Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Nchi hii imeoza kuanzia kichwani,Ikulu,
Kama watumishi wa idara nyeti ya ujasusi wanaweza kufanya Yale tuliyoyaona mtandaoni mchana kweupe,hata huko uamiaji ni vile vile tu,kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake,
Nchi hii kila kitu kinauzika
 
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.

Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.

Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Hawa Uhamiaji ni wasumbufu sana kwa Watanzania tunapotaka kuvuka border au kuingia kwenye border zetu wenyewe kuliko hata wageni wakiona unatoka nje ya Nchi tu basi kwao ni dili
 
Ni kweli kabisa wala sikupingi. Kule kuna ustaarabu ambao watu wake wanao na ukijaribu kuleta mambo mengine ya kule huku kwetu, kwenye ushenzi wa kila aina itakuwa ni disaster. Ila tunaweza kufanya modification kubwa kulingana na mazingira yetu, yaani tusikopi na ku paste. Mimi hili la kulundika madaraka kwa mtu mmoja anayeitwa rais naona linatakiwa lifanyiwe kazi haraka sana sana. Kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo tunavyopata marais wabovu. Ni hatari sana kuwalundikia madaraka.
Hapo ndio kuna tatizo la msingi
 
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.

Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.

Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
ni hatari kwa usalama wa taifa letu aisee
 
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.

Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.

Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Hatuko salama kabisa,wenye dhamana ndio wanaotuuchuza, na mbaya zaidi hili litakaliwa kimya na litapita,
Tutaendelea kudharaulika sana kwa kweli
 
Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
Kwa kutumia spana namba ngapi
 
Ni kweli kabisa wala sikupingi. Kule kuna ustaarabu ambao watu wake wanao na ukijaribu kuleta mambo mengine ya kule huku kwetu, kwenye ushenzi wa kila aina itakuwa ni disaster. Ila tunaweza kufanya modification kubwa kulingana na mazingira yetu, yaani tusikopi na ku paste. Mimi hili la kulundika madaraka kwa mtu mmoja anayeitwa rais naona linatakiwa lifanyiwe kazi haraka sana sana. Kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo tunavyopata marais wabovu. Ni hatari sana kuwalundikia madaraka.
Lakini kama unavyoona sasa hivi, hakuna Rais wa CCM aliye tayari kupunguziwa madaraka hayo kwa hiari.

Bila shaka hawa watu wanasubiri kunyang'anywa hayo madaraka kwa nguvu. Wao wanaamini hilo haliwezekani, kwa vile wao ndio wanaomiliki silaha zote hapa nchini.

Sasa sijui kufanyike kitu gani.

Ni wananchi pekee, kwa umoja wetu ndio tulio na uwezo wa kuwaondoa hawa watu, lakini ni lazima tuwe na viongozi wanaoweza kutuunganisha na kutuelewesha lipi la kufanya kuwanyang'anya madaraka hawa wakoloni wapya.

Hapa sasa, penye usimamizi wa kuwaongoza wananchi kudai madaraka yao ndipo penye ugumu kwa sasa.
 
Ha
Kabisa kaka.

Ndio maana timu yake sasa hivi inapukutika kwa sababu alikuwa one man army,

na kila ambaye alikuwa anabweka alitegemea nguvu ya magufuli na sio nguvu ya taasisi bila kujua kwamba magufuli ataondoka na taasisi itabaki.

Magufuli angelitengeneza taasisi imara na kuweka watu sahihi ila tatizo kuweka taasisi imara lazima raisi ukubali kujipunguzia power jambk ambalo raisi aliye madarakani hawezi kukubali
Hapo ndio umesema kabisa. Muhimu sana ni taasisi imara siyo kiongozi imara. Angalia Marekani no matter nani rais unaingiaje Sasa hata kama umepewa visa wanaweza kukuzuia popote watapohisi wewe siyo salama. Hapo hata Biden haingilii maana hata vyombo vya habari viko na vinalindwa na viko huru.
 
Back
Top Bottom