TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Mkuu ukosoma reply moja unaweza kujibu kwa jazba, matusi, kebehi na lawama kibao.Ondoka kwenye dunia yakutegemea mtu mmoja ndiye alete mabadiliko ya nchi.Dai katiba mpya.
Baada ya comment hiyo kuna wadau wamemsahihisha chini yake nadhani hatupaswi kuanza kumleta marehemu although wadau wanasema aina ya mtu as JPM but awe na mfumo imara usiomtegemea mtu mmoja as Jeshi la mtu mmoja but taasisi imara.
Okay let say; Magufuri angekuwepo na akawa na taasisi inayomzunguka yenye watu imara wasio na makando kando na wakaingia deep field unadhani ubadhirifu kama huu kwa kiasi ungekuwaje!.
Angalia pale China, Urusi au Korea kwa mapanki nchi zilivyo.