Nchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.Hii issue imenishtua na kunisikitisha.
Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.
Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Ni kweli Hayati Magufuli alikuww anatufaa lakini akiwa pekee yake asingeweza bila kuweka mifumo imara.Nchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.
Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
Kabisa kaka.Ni kweli Hayati Magufuli alikuww anatufaa lakini akiwa pekee yake asingeweza bila kuweka mifumo imara.
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.
Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.
Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Eehee now you get me.Kabisa kaka.
Ndio maana timu yake sasa hivi inapukutika kwa sababu alikuwa one man army,
na kila ambaye alikuwa anabweka alitegemea nguvu ya magufuli na sio nguvu ya taasisi bila kujua kwamba magufuli ataondoka na taasisi itabaki.
Magufuli angelitengeneza taasisi imara na kuweka watu sahihi ila tatizo kuweka taasisi imara lazima raisi ukubali kujipunguzia power jambk ambalo raisi aliye madarakani hawezi kukubali
Si kwa sababu anatoa chochote? Hii nchi imeozaLakini haya mambo hayajaanza leo
Inajulikana wazi kua muhindi au muarabu atapata viza kiurahisi kuliko mtanzania mweusi
Hata vitambulisho vya uraia
Anapata mgeni kiwepesi kuliko mzawa
It's pitty
Lakini ndio nchi yetu, tunasukuma siku ili muda wetu ufike tujifie
Inatia hasira lakini hatujui cha kufanya
Ondoka kwenye dunia yakutegemea mtu mmoja ndiye alete mabadiliko ya nchi.Dai katiba mpya.Nchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.
Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
Katiba Mpya pkee ndio mwarobaini wa matatizo mengiOndoka kwenye dunia yakutegemea mtu mmoja ndiye alete mabadiliko ya nchi.Dai katiba mpya.
Yaani hadi inaudhiInasikitisha sana...
Mtu mmoja hawezi kufanya kila kitu. Hata awe mkali na mzuri kiasi gani. Tubadilishe mifumo yetu ya utawala. Kuna nchi hazina ufisadi mkubwa kama Finland, Norway nk. Kwa nini tusijifunze kutoka huko?Nchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.
Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
Hili wala halinishangazi. Kama mtu umeshapita pale airport kwenye utoaji wa viza na ni mchunguzi lazima utagundua kitu. Wafanyakazi wa pale wamekaa kipigaji pigaji na kuna harakati nyingi zinaendelea zinazotia mashaka.Hii issue imenishtua na kunisikitisha.
Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.
Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Kitendo cha Mahakama, Bunge, Jeshi na Vyombo vingine kutegemea Entirely Rais akiyeko madarakani basi tutarajie hakitakuja kufanyima kitu cha maana nchi hii.Mtu mmoja hawezi kufanya kila kitu. Hata awe mkali na mzuri kiasi gani. Tubadilishe mifumo yetu ya utawala. Kuna nchi hazina ufisadi mkubwa kama Finland, Norway nk. Kwa nini tusijifunze kutoka huko?
Kabisa kabisa. Na mbaya sasa hivi wizi na ufisadi ndiyo umerudi kuliko wakati mwingine wowote. Samia haiwezi hii nchi.Kitendo cha Mahakama, Bunge, Jeshi na Vyombo vingine kutegemea Entirely Rais akiyeko madarakani basi tutarajie hakitakuja kufanyima kitu cha maana nchi hii.
We need System reform
Wanaiba kwa kushirikiana. Sio rahisi kuwakomesha.Kabisa kabisa. Na mbaya sasa hivi wizi na ufisadi ndiyo umerudi kuliko wakati mwingine wowote. Samia haiwezi hii nchi.
Magufuli tutamkumbuka sana japo naye alikuwa na mapungufu mengi lkn kwasasa tutakomaNchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.
Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
Sawa ila haya yalitokea pia wakati wa Magufuli. Hii ripoti ni ya 2020/21. Ukweli ni kuwa upigaji Uhamiaji umekuwepo siku nyingi pamoja na kuwekewa mifumo ya ulipaji. Wafanyakazi kwy viwanja vya ndege ni kawaida kabisa kuwaambia wageni mfumo uko down hivyo wanalipa manually. Hapo unategemea nini kama ndege imeingia usiku mkubwa.Nchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.
Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.
Mkuu 'Pythagoras' hili li-nchi tunaelekea kwenye kugonga mwamba kwa spid ya 'mach 5', nadhani itakapokuwa hivyo, watakaokuwa wamesalimika kutokana na janga hilo, nchi watainyoosha iende kwa mwelekeo unaojulikana.Hii issue imenishtua na kunisikitisha.
Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.
Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Magufuli alikuwa haruhusu majadiliano ya hoja na maoni tofautiNchi ya Tanzania inabidi yupate dikteta mzalendo.
Yaani magufuli tungemfanyia modification kiasi kwenye baadhi ya mambo basi alikuwa anatufaa sana kuongoza tanzania hata milele.