chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.
Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa