Kama ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere uko chini ya viwango, Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi

Kama ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere uko chini ya viwango, Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi

Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).

Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.

Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.

Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Msukuma hajasema ila amenukuu kauli ya Waziri wa Nishati pale alipoulizwa kuhusu kujaza maji, January alijibu crane hakuna sasa sawa crane imeshafika mbona hamjazi waziri katoa jibu lingine kuwa mahandaki yalijengwa substandard! Makamba kila siku anaibua sababu na ndiyo maana anashangaa wasomi wenzake mnakwama wapi?
 
Huo mradi wameiba Hela, January hawezi kubeba wizi wa waliotangulia
 
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Mkuu umesahau kuhanikiza kuwa sukuma gang wote wana kesi ya kujibu
 
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Ningekuwa na enough time, ningeweka Ripoti ya CAG (for Development Projects) ya 2019/2020. Katika ripoti ile, kwa kuangalia muktadha huu, CAG ali-highlight mambo yafuatayo:-

1. Wakati tenda inatolewa, moja ya sharti lilikuwa ni kwa Contractor kuto-subcontract kazi yote, na kazi atakazo-subcontract zisizidi 50% of Contract Price!

Kwenye uchunguzi wake ule CAG akagundua, by the time kulikuwa na 21 Subcontractors na 9 Subconsultants. Kilichomtia hofu CAG ni kwa hao Subcontractors kupewa kile alichoita ALL MAJOR PROJECT COMPONENTS.

Kutokana na hilo, CAG akaeleza wazi kwamba HII INAWEZA KU-IMPAIR THE QUALITY OF WORK hata kama the quality risks inaangukia kwa Contractor.

2. Wakati sharti la mkataba lilikuwa linamtaka Contractor kuto-subcontract more 50% of the Contract Price, kwa bahati sharti hilo lilizingatiwa na kuona ni around 37% of the Contract Price ndiyo ilikuwa subcontracted!

Hata hivyo, disclosure ya hyo subcontracted price haikuwa kazi ndogo kwa sababu Contractor aligoma kutoa na ikabidi ifanyike jitihada ya ziada kuhakikisha anatoa!!

Sasa ndipo unajiuliza kama Subcontracting yake imefuata masharti ya mkataba, ni kwanini basi alikuwa hataki kutoa!

3. Contract and Project Design Requirements ilikuwa inataka Contractor ajenge 2 Diversion Tunnels. Kwa mshangao wa CAG, Contractor akajenga ONLY ONE Diversion Tunnel!

Matokeo yake, iliponyesha mvua na mto kujaa, maji yakafanya mambo yake!!

What happened next day? Wakati mnaambiwa mambo ni FIRE kumbe uhalisia project ilikuwa DELAYED FOR 5 MONTHS!!

Na wakati akina Msukuma wanashangaa kuona Mradi hutaki kwisha na hivyo kuona ni ubabaishaji wa Makamba, Ripoti ya CAG ya Masharika ya Umma ambayo ilitolewa March 2021

Ndugu yangu residentura...

Nimeona post yako lakini amini usiamini, tatizo kuu la nchi hii sio CCM wala mawaziri wao bali ni WANANCHI...

Be the worst leader EVER... bado itatokea millions of MISUKULE hai itakayokuwa inakushangilia na kukutea na uovu wako!

Na tatizo letu kubwa ni kwamba, HUWA HATUFUATILII mambo kwa undani na matokeo yake tunakuwa Victim wa Uongo wa Viongozi wa CCM!!

Amini usiamini, anayosema Makamba mengi kama sio yote aliyokuta pale TANESCO ni ukweli mtupu!!

Sio kwamba Makamba ana tofauti na viongozi wenzake wa CCM, la hasha! Kwa sababu zilizo wazi kabisa inaonesha bado ana kinyongo na JPM Administration.

Kwahiyo kwa kutumia kinyongo hicho alichonacho, ndipo nae anaamua kutumia nafasi yake kuonesha ni namna gani JPM Administration ili-handle power sector kwa uovyo kabisa!!

Yaani ni kama anamwaga mboga vile! I doubt kama angekuwa anayasema haya kwa uwazi endapo angeendelea kuwa kwenye JPM's Circle.

But trust me, mengi anayosema ni ya ukweli na yapo kwenye Ripoti za CAG za tangu wakati JPM yupo madarakani! Sema kwavile huwa hatufuatilii, ndo maana leo yakisemwa tunaona uongo tu!!

Kwa mfano, suala la watu kutoruhusiwa kufanya maintenance, LIPO KWENYE RIPOTI YA CAG. Ipo baadhi ya mitambo pale Ubungo tu ambayo ilifanya kazi kwa zaidi ya saa 10K nje ya muda ambao ilitakiwa ziwe zimefanyiwa maintanence.

Yaani, kama mtambo ulitakiwa kufanyiwa maintanence baada ya kuwa umepiga mzigo kwa saa 15K, basi CAG aliukuta ukiwa umepiga mzigo kwa saa 25K bila maintanence!!

Wakati huku mtaani tunaambiwa MAMBO NI FIRE kiasi kwamba hata ndugu yangu MALCOM LUMUMBA akashawishika kwamba inawezekana kuna hujuma kweli pale JNHP, lakini Ripoti ya CAG inasema, as at December 31, 2020 Mradi ulikuwa umeendelea kwa ONLY 28.61% wakati kwa tarehe hiyo walitakiwa wawe wamekamilisha 47%!

Yote hayo wananchi hatukujua, na wengine tulipojaribu kuweka uhalisia, tena with facts from Govt Sources, tukaambiwa tuna chuki na JPM!!

Leo hii wanaona mradi upo bado, wanalia hujuma dhidi ya JPM bila kufahamu kwamba, ingawaje tulikuwa tunaimbiwa nyimbo tamu za maendeleo ya mradi lakini hadi JPM anatangulia mbele za haki, sehemu kubwa ya mradi ilikuwa haijafanyika!

And guess what... moja ya sehemu ya ripoti inasema, 2 years baada ya kutangazwa kuanza kwa mradi, TANESCO walishindwa kutoa PROOF ya kuwepo kwa pesa za kuendeshea mradi kwa sababu walishindwa kuonesha bajeti ya mradi!

Lakini pamoja na yote hayo, huku mtaani tulikuwa tunashangilia uongo tunaoambiwa ambao unaweza kuifanya CCM iendelee kubaki madarakani kwa miaka kadhaa kwa sababu they're good in telling lies, na wananchi wanafurahia kudanganywa kwa sababu hatufuatilii na matokeo yake tumekuwa ndo agents of Lies Protections!!

Leo hii Makamba anatembelea madhaifu ya past administration as defensive mechanism but nobody believe him coz' we already believed in lies.

Makamba nae itafika wakati ambapo hatimae defensive mechanism ya kutumia JPM Administartion itakuwa No More Applicable kwa sababu atalazimika kuonesha Results and no more Updates!

Na kwavile possibly nae HATAWEZA kuonesha results, nae ataanza kutoa NEW LIES, and we'll believe him from his new lies, na atapata New Lies Defenders... it's vicious circle!!
 
Hata Mradi wa Ujenzi wa Mwendo kasi wa Mbagala ni ujenzi wa chini ya kiwango ambao sijawahi shuhudia katika ujenzi wowote wa wazi barabarani..

Zege linazuiliwa na mirunda...michilizi ya michuzi ya cement kila slub nyufa kibao hakika tumepigwa na tunaendelea kupigwa na wapigaji wanaitwa waheshimiwa... iiiigh

Vituo vyenyewe vimejengwa kwa msingi wa tofali na kuwekwa jamvi la zege juu...hahah

Sio kama vile vya Morogoro road ambavyo ni zege chini hadi juu...
 
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).

Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.

Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.

Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Yaani wewe unaamini maneno ya Joseph Kasheku? mhh
 
Huyu Kalemani si ndio mzalendo wenu huyu au?

Mbona Makamu wa Rais Mpango licha ya kusema Bwawa linahujumiwa na Wana ccm wenzake pia alisema Kampuni iliyopewa Kazi haikuwa na uwezo na vigezo na hakuna mchakato wa tendering ukifanyika.

Na haya ndio matokeo yake.Makamba alisema ucheweweshaji wa mradi umesabababishwa na Serikali kwa kutaka kujiridhisha kila hatua ya ujenzi kutokana na kubaini mapungufu hayo kwa mkandarasi.

Wazalendo wa Mzilankende 😀😀,bado kipande cha Yapi Kerkez na yule kuwadi wao Masanja.
 
Arab contractors, ambao ni main contractors hawajawai kujenga kitu kaa ile, so hii ni white elephant project, jiwe alitaka tu kupiga hela, magu alikuwa jambazi la ajabu
Hii miradi badala ya kuwapa wachina au wazungu mnawapa hao kwa kisingizio cha ushirikiano,ngoja muone moto.
 
Halafu nyie ni watu wa ajabu sana, mara mnatuambia Msukuma ni mropokaji asiyejua chochote, leo msukuma huyo huyo kawa reliable source of civil engineering information. Naona ninyi na msukuma lenu moja.
Msukuma alikuwa analaumiwa kwa kumshambulia Kakamba in personal,sababu za kukatika Umeme anazijua na Sasa mbona kajua hili?
 
Kalemani ni Eng mshauri?
Mkuu wa sera wizarani na msemaji mkuu wa Wizara na taasisi zake,yeye alituambia mambo shwari sasa kwa nini asiwajibike kwa kauli zake?

Makamba JR amekuwa akiongea ukweli mnamshamgulia,kwanza ametuambia pia Bwawa limechelewa zaidi ya mwaka lakini watu kwa miezi aliyoingia mnataka kumuangushia zigo.
 
Msukuma hajasema ila amenukuu kauli ya Waziri wa Nishati pale alipoulizwa kuhusu kujaza maji, January alijibu crane hakuna sasa sawa crane imeshafika mbona hamjazi waziri katoa jibu lingine kuwa mahandaki yalijengwa substandard! Makamba kila siku anaibua sababu na ndiyo maana anashangaa wasomi wenzake mnakwama wapi?
Wao kama kamati ya Nishati na madini Wana majibu tofauti na ya Makamba?

Mbona Wana access ya kupata hayo majibu,Wametimiza wajibu Kwa kujiridhisha na majibu ya Wizara?
 
Majibu gani? Kwamba mradi unacheleweshwa ali watu wapige pesa kwenye gesi? Hivi unafikiri hilo bwawa likikamilia na kuzalisha MW 2115 Tanesco wataendelea kununua gesi ili wazalishe MW 80? 😂😂👍🏼
Kwa nini mlijenga chini ya kiwango? Kwa nini hadi tarehe ya Makamba kuingia Wizarani mlikuwa mumeficha kwamba Bwawa limechelewa kwa zaidi ya siku 400?

Energy mix iko pale pale wala hizo sababu unazotoa hazipo.
 
Wewe unaamini utopolo kama huo? Ulitegemea huyo Makamba akamilishe mradi ilihali genge lake wote wana hisa kwenye gesi? Sasa si inabidi atafute kisingizio? Kaanza na crane la tani 26 la kunyanyua milango ambayo anakiri ipo site halafu anasema hakuna crane lenye uwezo huo, hajiulizi inefikaje hapo site au nani kashusha na kwa kutumia kifaa gani?! Sasa mtu kama huyo niambie, ana akili ndani ya fuvu la kichwa chake?! Just tell me..
 
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).

Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.

Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.

Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Basi unaona umeweka points....
kumbe upuuzi mtupu.....
 
Hata Mradi wa Ujenzi wa Mwendo kasi wa Mbagala ni ujenzi wa chini ya kiwango ambao sijawahi shuhudia katika ujenzi wowote wa wazi barabarani..

Zege linazuiliwa na mirunda...michilizi ya michuzi ya cement kila slub nyufa kibao hakika tumepigwa na tunaendelea kupigwa na wapigaji wanaitwa waheshimiwa... iiiigh

Niliwahi kuandika uzi humu kucompare zege la kipindi cha JK kwenye mwendokasi na la JPM kule mbagala wakalifutia uzi
 
Back
Top Bottom