Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kalemani ni Eng mshauri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni bwawa la michongo ya awamu ya tanoTuna waziri kilaza tokea aitoe kauli yake hii "zamani umeme ulikuwa haukatiki sababu kulikuwa hamna schedule maintenance " ni kaona hatuna waziri.Sijui katuona vilaza kama yeye. Hiko kijenereta ukiache kioperate kwa miezi kazaa bila maintenance lazima kibume.
Wanatoa tenda halafu wanaenda kuchukua cash kwa mkandarasiShida katika nchi hii ni CCM hapa unaweza sikia kaitwa kwenye kamati kujieleza
Wale wenye mimba za chuki ambazo hazitaki kukomaa.Hilo ni bwawa la michongo ya awamu ya tano
Kalemani alifit sna pale nishati tuache utaniTuna waziri kilaza tokea aitoe kauli yake hii "zamani umeme ulikuwa haukatiki sababu kulikuwa hamna schedule maintenance " ni kaona hatuna waziri.Sijui katuona vilaza kama yeye. Hiko kijenereta ukiache kioperate kwa miezi kazaa bila maintenance lazima kibume.
Ila uzuri yy mwenyewe alikubali zamani umeme ulikuwa haukatika, alivyo ingia yy hizi ngonjera zimeanza mara schedule maintenance, mara wafanyakazi walikuwa wanashindwa kufanyakazi sababu walikuwa wanafokewa, mara crane la tani 27 hatuna, mara kakodi chopa kukagua vyanzo vya maji nk yaani upuuzi upuuzi mwingi vitendo hamna,mgao hauelewiki ni wa masaa mangapi na wa siku zipi.
Mimi naona bwawa hili waziri anataka kulipiga chini so alipige chini na ikiwezekana kabla hajalipiga chini awakabidhi watu wanao deal na maswala ya utalii liwe kama sehemu ya utalii na kivutio (makumbusho) ili turuhusiwe na familia zetu tukapige picha, inaweza kusaidia kurudisha gharama za ujenzi zilizo tumika kidogo kidogo na hao wakandarasi awaondoe awalipe hela yao,maisha ya endelee na waendelee kufanya watakacho.
Nchi tena ni yao wao na familia zao na sitegemi kilaza MWEZI WA KWANZA KUTUMBULIWA cha msingi tutafute Majenereta au solar maisha ya endelee.
Kalemani alifanya kazi nzuri sn pamoja na madhaifu ya kibinadamu lakini alijitahidi sn, tatizo ni mfumo mbovu wa nchi. January anafanya kitu gani sahivi?Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.
Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Na kweli bhanaa, maana visingizio vimekuwa viiiiiingi, kama ahawataki waache tu, tushachoka sasa, waendelee kupiga pesa kwenye gesi weeee, hadi wazeeke wawe vibabu halafu wafe tuwazike, then watoto wetu watakuja kuliendeleza hilo bwawa, tushachoka sasaKwamba bwawa limwage maji ? Nguvu ipo kwenu achaneni na bwawa mfanye mnachoona kinafaaa..kwani kuna Nani wa kuwazuia
Nguvu ya maji huwezi kuicha, ndio the cleanest na cheapest source of energy, hao wenzetu akina nani unasema wanaicha, umeongea kama taahira aliyekatwa kichwa.Wenzetu wanatoka kwenye hydropower wanakwenda vertical power sisi tunakwenda hydropower!!!
Ni kampuni gani ilifanya mradi kama huo kwa mara ya kwanza halafu ikawa imeshawahi kuufanya? Na unajua maana ya neno ‘white elephant’ au unaropoka tu kama taahira aliyekatwa kichwa?arab contractors, ambao ni main contractors hawajawai kujenga kitu kaa ile, so hii ni white elephant project, jiwe alitaka tu kupiga hela, magu alikuwa jambazi la ajabu
Ni urefu wa kamba yako tu ndugu, kama ni fupi hili si la kwetu.Hata Mradi wa Ujenzi wa Mwendo kasi wa Mbagala ni ujenzi wa chini ya kiwango ambao sijawahi shuhudia katika ujenzi wowote wa wazi barabarani..
zege linazuiliwa na mirunda...michilizi ya michuzi ya cement kila slub nyufa kibao hakika tumepigwa na tunaendelea kupigwa na wapigaji wanaitwa waheshimiwa... iiiigh
Wewe ni mpuuzi, bisha.Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.
Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Mimi namtetea Humphrey polepole kampuni yake ina uzoefu sana katika ujenzi wa mabwawa katika nchi za kusini mwa Africa,,Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili kupelekwa kisutu.
Nilishauri huu mradi mama autupie jicho Kali, hawa jamaa wamekula trilioni mbili, na ujenzi chini ya viwango. Wote tunajua athari za bwawa kubomoka, na kumwaga maji kwenye hifadhi, maji yatafagia viumbe wote pale selous.
Pale Kuna subcontractors wengi akiwepo Humphrey, mwendazake na Kalemani, Wana vikampuni vyao na ndio wamekuwa wanapiga debe ili madebe yao ya unga yaendelee kujaa
Bila picha zinabaki kiwa porojo tu! Hizo nyufa ni expansion joints!Hata Mradi wa Ujenzi wa Mwendo kasi wa Mbagala ni ujenzi wa chini ya kiwango ambao sijawahi shuhudia katika ujenzi wowote wa wazi barabarani..
Zege linazuiliwa na mirunda...michilizi ya michuzi ya cement kila slub nyufa kibao hakika tumepigwa na tunaendelea kupigwa na wapigaji wanaitwa waheshimiwa... iiiigh
Nimekusoma, umeandika kwa ufupi ila inabeba maana Pana sana....naona umetafakari sana ujinga ujinga unaoendelea 🤣🤣Mtu mweusi kuendelea kiuchumi itamchukua muda mrefu sana.
Miafrika ndivyo tulivyo-nyani ngabuMtu mweusi kuendelea kiuchumi itamchukua muda mrefu sana.
Msukuma ndio alikuwa anawalaumu serikali kwanini wanaleta sababu zisizo na mashiko mara ujenzi ni substandard, mara hakuna maji ya kutosha, mara crane hakuna, tafuta hiyo clip waliyotupiana maneno kati ya Njaanuary na Mh Msukuma.Kwani mradi umekwisha tayari? Msukuma amewahi kusoma Project management popote? nauliza tu
Hapo sawaMsukuma ndio alikuwa anawalaumu serikali kwanini wanaleta sababu zisizo na mashiko mara ujenzi ni substandard, mara hakuna maji ya kutosha, mara crane hakuna, tafuta hiyo clip waliyotupiana maneno kati ya Njaanuary na Mh Msukuma.