DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hahaha weka chumvi au asali. Morningπ€£kama sipendi sukari kwenye maharage nafanyeje
Haya mapishi ya familia za kishua, kule kwetu hii ni anasaHwl
Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana .
Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka tangawizi na limao kwa kufanya hivyo utakula maharage bila kukuletea shida Asante.
Chumvi kila maharagwe yanawekewa, asali utakua umerudisha usukari tena[emoji28][emoji28]Hahaha weka chumvi au asali. Morning
Morning bro, hii mada imenigusa maana toka jana nimepiga ma beans ni mwendo wa kiss fm tu pyuuuh pyuuh pyuuuh.Hahaha weka chumvi au asali. Morning
π€£kama sipendi sukari kwenye maharage nafanyeje
Tumia magnesium tumorning bro, hii mada imenigusa maana toka jana nimepiga ma beans ni mwendo wa kiss fm tu pyuuuh pyuuh pyuuuh.
Nitajaribu hiliSukari unaweka kidogo kwa mbali tu then Kama haupendi weka tangawizi na limao
Limao inasaidia kuua gas
Tangawizi insaidia kutojamba so ukifanya hivyo utakula maharage kwa Raha Sana na utafurahia yaunge vizuri.
Ah hapana yataisha tu sipendi dawaTumia magnesium tu
Utadhani umekula ndizi mbivukuna ile lactose intolerance
ukinywa maziwa au mtindi tu, wiki nzima wewe ni kujamba
Aiseeee mimi natembea na magnesium dah, ninakuaga na heartburn sio ya ulimwengu huu.ah hapana yataisha tu sipendi dawa
Long time sana nilikuwa natumia magnesium tena sababu bi mkubwa ndio nilikuwa namnunulia basi na mimi nagonga kama pipi tuAiseeee Mimi natembea na magnesium dah, ninakuaga na heartburn sio ya ulimwengu huu
Nafikiri hio pia hunikabili, nikinywa fresh milk ni swala la nusu saa tu lazma nitaenda kuchana kaseti tena tumbo huvuruga haswaa! So huwa nina avoid kunywa fresh milk bora hata mtindi kidogo unavumiliaga.kuna ile lactose intolerance
ukinywa maziwa au mtindi tu, wiki nzima wewe ni kujamba
Hii nishaijaribugi sema nilitumiaga maji ya moto. Unayafungia maharage kwenye chupa ya chai na kumiminia maji ya moto kisha unafunga. Ukija kufungua kesho unaeza yapika hata kwa gas tu yanakuwa yameivaNaongezea kwa wale wa kupika nyumbani, kama unataka kula kesho basi yaroweke leo usiku kucha, asubuhi mwaga yale maji, osha kwa maji mengine kisha yachemshe, njia hii husaidia sio tu kuiva haraka bali kuondoa sumu kali iliyopo kwenye maharage na jamii zake zote, hata hiyo gesi hutoisikia tena.
Wanasema ukiloweka maharage hayawi matamu, sijui kama kuna ukweliNaongezea kwa wale wa kupika nyumbani, kama unataka kula kesho basi yaroweke leo usiku kucha, asubuhi mwaga yale maji, osha kwa maji mengine kisha yachemshe, njia hii husaidia sio tu kuiva haraka bali kuondoa sumu kali iliyopo kwenye maharage na jamii zake zote, hata hiyo gesi hutoisikia tena.
π π π π πlazma nitaenda kuchana kaseti