Kama ukila maharage unapata Matatizo ya tumbo kukaa Gas na kutoa ushuzi, Soma hapa

Kama ukila maharage unapata Matatizo ya tumbo kukaa Gas na kutoa ushuzi, Soma hapa

Kuna anti acid za kutumia kuondosha hio kadhia milele?
Zipo pana jamaa angu mmoja aliwahi enda JHB hospital alitibiwa na hana tatizo kabisaa ila dozi yake ilikua kubwa sana hatumii dawa tena kipindi hicho mimi sina tatizo hilo nilishangaa mtu mzima kabisa wanamwambia alazwe pale kama wiki hivi wakimtibu hilo tatizo ilikua kitambo kidogo jamaa alikua anasumbuka sana na hilo tatizo...sema dawa nyingi tunazotumia ni za ujanja ujanja
 
Nasoma huu uzi natetemeka nikikumbuka nilichofanya jana .

Yaani nilikula maharagwe mgahawani juzi kuamkia jana asubuhi , yaani nilikuwa na kazi moja urgently sana kwahivyo nikawaza nikisema nibane vijambo nitajikuta muda wote niko chooni na nitauwa mtu wa watu .

Basi mimi nikauvaa ushujaa , kila muda nikihisi chochote nilikuwa najamba iwe kwa sauti kubwa au ndogo , masikini wale madada ma medical attendant walianza wanachekekea pembeni mwisho wakauliza kwani mkuu kuna shida ? [emoji3][emoji3]

Mimi nasema tupige kazi , hayo tuzungumze nje na labour room .

Leo nipo kazini kila mtu macho anayoniangalia ni ya kicheko kwa niliyoyafanya jana labour room ila najali sasa ?

Ila maharagwe aisee yamenitia aibu sana jana .
 
Kuna baadhi ya watu wenye ulcers huwa wanaweka karanga ili kukata gesi. Sasa sijui huwa inafanya kazi au vipi, unaweza kujaribu 😁
 
Maharage ya siku hizi yana madawa mengi sana, maharage unayaweka mwezi mzima hakuna hata mdudu mwenye hamu ya kuyala?

Mie nakula maharage mabichi nnayojipandia mwenyewe.
Wali wa maharage mabichi mtamu sana asee[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Maharage ya siku hizi yana madawa mengi sana, maharage unayaweka mwezi mzima hakuna hata mdudu mwenye hamu ya kuyala?

Mie nakula maharage mabichi nnayojipandia mwenyewe.
hata ladha ya maharage imepungua mno ukikompare na miaka ya nyuma
naweza kula lakini nalazimisha kwenye ubongo ni-taste ladha yake ile OG, ila wapi
 
Hwl

Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana.

Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka tangawizi na limao kwa kufanya hivyo utakula maharage bila kukuletea shida Asante.
Sukari kwenye mboga hapana ila vingine sawa
 
Back
Top Bottom