Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
SUKARI HAPANAAAAAAAASukari kwenye mboga hapana ila vingine sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SUKARI HAPANAAAAAAAASukari kwenye mboga hapana ila vingine sawa
Hiv madawa mengi yanawekwa yakiwa shambani au yakivunwa kwenye uhifadhi?Maharage ya siku hizi yana madawa mengi sana, maharage unayaweka mwezi mzima hakuna hata mdudu mwenye hamu ya kuyala?
Mie nakula maharage mabichi nnayojipandia mwenyewe.
😂 😂 😂 😂 😂 qmmmmqMm napenda sana harufu ya kijambo au kukaa karibu na mtu anayejamba najisikia raha sana .
Kama unajambajamba please....😂 😂 😂 😂 😂 qmmmmq
Yeah wanasema pia ukishayaloweka hivyo ukayabandika yale maji yake ya kwanza hakikisha hayachemki yote yakaisha, unayamwaga then ndio unaongeza mengine siyo tu yanaiva haraka na kuondoa ile gesi, bali pia yanakuwa matamu hata ukiyaunga na kitunguu tu bila kuweka viungo vingine wala naziNaongezea kwa wale wa kupika nyumbani, kama unataka kula kesho basi yaloweke leo usiku kucha, asubuhi mwaga yale maji, osha kwa maji mengine kisha yachemshe, njia hii husaidia sio tu kuiva haraka bali kuondoa sumu kali iliyopo kwenye maharage na jamii zake zote, hata hiyo gesi hutoisikia tena.
Weka asali....😂😂😂🤣Kama sipendi sukari kwenye maharage nafanyeje
Ninavyopenda maharage hii mada imenifanya leo niyapike, hata mimi nakula hadi yaliyoungwa mafuta tu sio lazima nazi,Yeah wanasema pia ukishayaloweka hivyo ukayabandika yale maji yake ya kwanza hakikisha hayachemki yote yakaisha, unayamwaga then ndio unaongeza mengine siyo tu yanaiva haraka na kuondoa ile gesi, bali pia yanakuwa matamu hata ukiyaunga na kitunguu tu bila kuweka viungo vingine wala nazi
Yajaribu,maharagwe ya Sukari ni matamu sana haswa yaliyowekwa Nazi.🤣Kama sipendi sukari kwenye maharage nafanyeje
Na wali au chapati za moto kiasi na juisi ya bariidi ya parachichi miksa embu au ya ukwaju achaa tuu,,,Mamaeee!!Hakuna ukweli, utamu wa maharage ni uungaji wako, utie vitunguu, karoti, hoho, masala kidogo, tui bubu la nazi mbili, yanakosaje kua matamu kwa mfano, [emoji39]
Kama unapika mwenyewe, roweka kwanza maharage yako walau kwa lisaa limoja. Then mwaga maji weka maji fresh ndio uyachemshe. Ukiunga usiwache kuweka thomu na tangawizi...ni lazimaMorning bro, hii mada imenigusa maana toka jana nimepiga ma beans ni mwendo wa kiss fm tu pyuuuh pyuuh pyuuuh.
Ongeza mboga za majani kwenye chakula chako...ziwe raw au zilizopikwa. Pia kunywa maji mengi hasa asubuhi kabla hujala kitu chochote. Fanya mazoezi japo walking tu. Na punguza mamikate na maugali usile snJamani mie nina gas balaa choo nacho ni kigumu nifanyaje?
Jamani mie nina gas balaa choo nacho ni kigumu nifanyaje?
Napenda sana makande yenye sukari.N
Ni sawa na mtu anaweka sukari kwenye makande ooh gosh. Mimi sukari naweka kwenye mtindi tu