Kama ukila maharage unapata Matatizo ya tumbo kukaa Gas na kutoa ushuzi, Soma hapa

mimi ni fresh(hata mtindi) tusha divorce kitambo
kuna mgahawa nilikula, wakachanganya fresh nadhani, ila niliwahi fika home
nikaachia nukes za kutosha
🀣🀣🀣🀣🀣🀣mtindi nao kipengele, kuna vitu ambavyo sili nikiwa mbali na nyumbani.

1.Pilipili
2.Maziwa fresh
3.Mtindi
4.Embe
5.Chocolate

Hivyo vyote kwangu ni kimeo.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣mtindi nao kipengele, kuna vitu ambavyo sili nikiwa mbali na nyumbani.

1.Pilipili
2.Maziwa fresh
3.Mtindi
4.Embe
5.Chocolate

Hivyo vyote kwangu ni kimeo.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mtindi haupandi mzee, hata nionje kijiko tu, baada ya nusu saa hakukaliki tena
nikinywa glass nzima, basi naamisha TV chooni kabisa nashinda huko
 
Hii nishaijaribugi sema nilitumiaga maji ya moto. Unayafungia maharage kwenye chupa ya chai na kumiminia maji ya moto kisha unafunga. Ukija kufungua kesho unaeza yapika hata kwa gas tu yanakuwa yameiva
Eeh ni njia nzuri pia, je bado tumbo liliendelea kukusumbua?
 
Changamoto za kula maharage nilizipitia kipindi cha shule boarding huko nje na hapo hayajawahi nisumbua πŸ€”πŸ€”mi nakula chochote kilichoiva na hakinisumbui
 
Mi najua ninalo maana hio pattern inajirudiaga kila nikinywa fresh milk. Kumbe siko mwenyewe yani
Mimi nilikua na tatizo kama lako ila kwenye maziwa huko sikufika nilienda hapo Serian walinipa dawa za siku 14 tatu asubuhi tatu usiku na unywe ukiwa umeshiba na baada ya kumaliza hiyo dozi nikapima nikapewa kidonge kimoja kila siku kwa siku saba nikaenda kupima kwao wakasema tumbo lipo sawa na pia ishu ya gesi haipo tena mimi mwenyewe kwenda Hospital ni mzito ila hii ngoma sikupata sare yake kabisa...
 
Mkuu,
Kwani maharage yana sumu kali? Ni sumu gani hiyo, mimi ni mpenzi wa beans hivyo nataka kujua.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣mtindi nao kipengele, kuna vitu ambavyo sili nikiwa mbali na nyumbani.

1.Pilipili
2.Maziwa fresh
3.Mtindi
4.Embe
5.Chocolate

Hivyo vyote kwangu ni kimeo.
Nenda hospital mazee wao wanasema tumbo linakua na acid sana kwa hiyo watakupa dawa zitasaidia maana hivyo vyakula vina acid pia ukiongeza ndio maana tumbo linachafuka balaa...
 
Mkuu,
Kwani maharage yana sumu kali? Ni sumu gani hiyo, mimi ni mpenzi wa beans hivyo nataka kujua.
Sumu yake ni ya asili inaitwa Lectins, kuna baadhi ya mimea hutoa sumu ili kujilinda na viumbe wengine waharibifu pindi wakila tukiwemo sie, best option ya kuitoa Lectins ni kuloweka maharage kwa muda wa masaa 12 kabla hayajapikwa.....

Madhara ya Lectins kwa binaadamu ni:
Tumbo kujaa gesi,
Kuharisha,
Kutapika,
na hata Kizungu zungu.
 
Okay, somo zuri sana ila lina exceptions kidogo. Hiyo lectins unayoisemea inaweza kutoka sio lazima kwa kuloweka, hata kwa kuchemsha tu hayo maharage kwa moto mkali.
 
Aah basi nitajaribu na mimi kwenda hapo Serian
 
Aah basi nitajaribu na mimi kwenda hapo Serian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…