Kama ukishamwambia mtu kitu hakitokei tatizo lako ni hili

Kama ukishamwambia mtu kitu hakitokei tatizo lako ni hili

Iziwari

Member
Joined
Jun 5, 2021
Posts
95
Reaction score
73
Washauri wengi ikiwemo wazazi wamekuwa wakitushauri kuwa watu wasiri. Nikimaanisha tusipende kumwambia mtu mipango yetu.
Sa nyingine ni pale tu ukishamwambia mtu mipango yako ndio inavurugika.
Hii inatokana na nini ? na nini kifanyike?
Inatokana na kumwamini mtu pia kutokujua kuwa anaumia sana pale ambapo anakuona una mipango ila yeye hana.

Inaruhusiwa kuongea mipango yako, Na haijalishi mtu ana kinyongo au hana. Mipango yako ukiipambania inatokea.

Mipango kuto kutokea, kwa kipindi kifupi isikufanye ukasirikie wale uliowaambia. Bali ikufanye ujiandae na kupambania mipango yako hadi itokee.
Hakuna mtu anaweza kuzuia mipango yako. Waweke wazi ukipenda alafu waoneshe jinsi inavotakiwa kupambana.

Itaishia kuwa funzo kwao na kwako pia.

Kumbuka asilimia kubwa ya kile unachokifanya ni kwa ajili ya kuwafikishia watu. Kwaio usiogope pia kuwaambia watu. Hawataweza kuzuia.
 
Uchawi upo,tukiacha uchawi hata kwa level za nchi huwa kuna usiri mkubwa wa mikakati yao kuhofia majasusi wasiwakwamishe.
Usipokuwa msiri hufiki mbali
 
Wanaamini hata kwenye mpango wa Mungu kuna mkono wa mtu
 
Back
Top Bottom