Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Katika haya maisha kama huna Bahati mambo mengi sana utatumia nguvu.
Mfano kwa Dar es salaam ukianzia Mbezi, ukaenda Buguruni mpaka kariakoo utaona watu wanavyopambana na maisha point yangu ni kwamba kupambana na huna Bahati utatumia nguvu sana
Ukija kwa wachaga wamefanikiwa sana ila wale watu wanabahati ambayo Haina maelezo sio kwamba makabila mengine hawajitumi Bali hawana Bahati
Ukija kwa wazungu ni kweli wanaakili sana ila wana Bahati sana Kuna mambo hawatumii nguvu kuyaelewa ni tofauti na race nyingine
Ukija kwa wanawake kama huna Bahati nao utatumia nguvu nyingi kuwapata na watakusumbua sana, Kuna jamaa ni wakawaida Ila mkienda nae sehemu mademu wa zuri Wanashobokea Sana Mara wanamfananisha ni basi tu waongee nae
Kuna watu wengi wanamaisha ya kawaida sio kwamba hawajitumi wanafanya sana kazi kwa bidii Ila hawana bahati