Katika haya maisha kama huna Bahati mambo mengi sana utatumia nguvu
Hata kazin kama huna Bahati kupandishwa cheo itakua mtihani wanaweza wakaja wafanya wapya wakapewa vyeo kabla Yako mambo mengine sio uchawi Bali wanakua na bahati
Mfano kwa dar es salaam ukianzia mbezi, ukaenda buguruni mpaka kariakoo utaona watu wanavyopambana na maisha point yangu ni kwamba kupambana na huna Bahati utatumia nguvu sana
Ukija kwa wachaga wamefanikiwa sana ila wale watu wanabahati ambayo Haina maelezo sio kwamba makabila mengine hawajitumi Bali hawana Bahati
Ukija kwa wazungu ni kweli wanaakili sana ila wana Bahati sana Kuna mambo hawatumii nguvu kuyaelewa ni tofauti na race nyingine
Ukija kwa wanawake kama huna Bahati nao utatumia nguvu nyingi kuwapata na watakusumbua sana, Kuna jamaa ni wakawaida Ila mkienda nae sehemu mademu wa zuri Wanashobokea Sana Mara wanamfananisha ni basi tu waongee nae
Kuna watu wengi wanamaisha ya kawaida sio kwamba hawajitumi wanafanya sana kazi kwa bidii Ila hawana bahati
Ukisema hauwezi kufanikiwa kisa huna bahati sio kweli kwa asilimia 100,jiulize Juma nature na Diamond nani mkali,je kwa nini Mond amekuwa tajiri kuliko Juma necha,hapa inabidi uchambue zaidi,hv kipindi,zama za juma necha kulikuwa na YouTube,platform za kuuza miziki,radio za kutosha?Wanamuziki wa sasa hv 2020,wanapiga pesa zaidi kupitia internet platform zaidi,hizi platform hazikuwepo,99,98,2000,sasa wakifanikiwa hiyo sio bahati,ni zama zimebadirika.
Hata kwa wachaga wapo mafukara,sio wote Wana pesa,
Mo dewji,Bakheresa,Sugu,Vunja bei Hawa wote sio wachaga.
Matajiri wapo wengi tu,kama umezunguka hii nchi,ila kuna watu wapo kijasikiamali zaidi,chsga,haya,kinga,lakini haimaniishi wengine wakitumia hizo kanuni hawawezi kutajirika.
Bahati ni muhimu,lakini,ni kama lift tu,anayepewa lift,ni Yule aliyepo barabarani,sasa inategemea unaenda wapi,
Kama unaenda Bsgsmoyo na upo bunju,utapata lift za magsri ya mkaa,matunda,Malory,lakini kama upo afrikana Dar,unaenda kunduchi,uwezekano wa kupata lift ya V8 ni mkubwa.