The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Nimeelewa na nnasema kutegemea eti kuna "bahati" ni uzembe.
Wapi pameandikwa mtu asijitume au kufanya kazi ategemee Bahati? Wapi umeona watu wanasubiria bahati kwenye huu mjadala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeelewa na nnasema kutegemea eti kuna "bahati" ni uzembe.
Soma bichwa la habari.Wapi pameandikwa mtu asijitume au kufanya kazi ategemee Bahati? Wapi umeona watu wanasubiria bahati kwenye huu mjadala?
Soma bichwa la habari.
Wewe ni Mzungu? kama sio mzungu then unajuaje kwamba wazungu kuna baadhi ya mambo hawatumii nguvu kuyaelewa tofaouti na race nyingine?Ukija kwa wazungu ni kweli wanaakili sana ila wana Bahati sana Kuna mambo hawatumii nguvu kuyaelewa ni tofauti na race nyingine
Opportunity comes to those who are prepared for it. Ukipambana lazma utakutana nayo...hata bible ilishaandika japo sikumbuki kifungu. Hata hao wachaga na wazungu hawakai tu kusubiri bahati. Wanakutana nayo kwenye Hussle ma niggaKatika haya maisha kama huna Bahati mambo mengi sana utatumia nguvu
Hata kazin kama huna Bahati kupandishwa cheo itakua mtihani wanaweza wakaja wafanya wapya wakapewa vyeo kabla Yako mambo mengine sio uchawi Bali wanakua na bahati
Mfano kwa Dar es salaam ukianzia Mbezi, ukaenda Buguruni mpaka kariakoo utaona watu wanavyopambana na maisha point yangu ni kwamba kupambana na huna Bahati utatumia nguvu sana
Ukija kwa wachaga wamefanikiwa sana ila wale watu wanabahati ambayo Haina maelezo sio kwamba makabila mengine hawajitumi Bali hawana Bahati
Ukija kwa wazungu ni kweli wanaakili sana ila wana Bahati sana Kuna mambo hawatumii nguvu kuyaelewa ni tofauti na race nyingine
Ukija kwa wanawake kama huna Bahati nao utatumia nguvu nyingi kuwapata na watakusumbua sana, Kuna jamaa ni wakawaida Ila mkienda nae sehemu mademu wa zuri Wanashobokea Sana Mara wanamfananisha ni basi tu waongee nae
Kuna watu wengi wanamaisha ya kawaida sio kwamba hawajitumi wanafanya sana kazi kwa bidii Ila hawana bahati
Wewe wacha kubishana kitoto, kama hujanielewa sepa tu, wapo wataonielewa.Nimesoma, hapo ndio umeona watu wasifanye kazi wategemee bahati?
Kwanini usijisafishe wewe nyota uache kufanya biashara za kimaskini kama hizo?Ninauza dawa ya kusafisha nyota njo PM chap matokeo ndani ya siku 7
Usiseme kama huna bahati,sema kama huna connectionKatika haya maisha kama huna Bahati mambo mengi sana utatumia nguvu
Hata kazin kama huna Bahati kupandishwa cheo itakua mtihani wanaweza wakaja wafanya wapya wakapewa vyeo kabla Yako mambo mengine sio uchawi Bali wanakua na bahati
Mfano kwa Dar es salaam ukianzia Mbezi, ukaenda Buguruni mpaka kariakoo utaona watu wanavyopambana na maisha point yangu ni kwamba kupambana na huna Bahati utatumia nguvu sana
Ukija kwa wachaga wamefanikiwa sana ila wale watu wanabahati ambayo Haina maelezo sio kwamba makabila mengine hawajitumi Bali hawana Bahati
Ukija kwa wazungu ni kweli wanaakili sana ila wana Bahati sana Kuna mambo hawatumii nguvu kuyaelewa ni tofauti na race nyingine
Ukija kwa wanawake kama huna Bahati nao utatumia nguvu nyingi kuwapata na watakusumbua sana, Kuna jamaa ni wakawaida Ila mkienda nae sehemu mademu wa zuri Wanashobokea Sana Mara wanamfananisha ni basi tu waongee nae
Kuna watu wengi wanamaisha ya kawaida sio kwamba hawajitumi wanafanya sana kazi kwa bidii Ila hawana bahati
Wewe wacha kubishana kitoto, kama hujanielewa sepa tu, wapo wataonielewa.
Sipo hapa kubishana, nipo hapa kuelimisha japo kiduchu nilicho nacho. Elewa utavoelewa, upo huru.
Usiseme kama huna bahati,sema kama huna connection
Usimshirikishe Mwenyezi Mungu na Bahati na Nyota. Hiyo ni shirki, Mwenyezi Mungu hashirikishwi na chochote.Exposure na Uko Circled na Watu wa namna gani ndio kuna determine Destiny yako, Hakuna Mambo sijui ya Mungu wala Bahati wala nyota
Exposure na Uko Circled na Watu wa namna gani ndio kuna determine Destiny yako, Hakuna Mambo sijui ya Mungu wala Bahati wala nyota
Sitegemei kuwa kila mmoja ataelewa kwa wakti mmoja, kila mmoja na uelewa wake.Basi tufanye sijawa na bahati ya kukuelewa unachoelimisha hapa.
Sitegemei kuwa kila mmoja ataelewa kwa wakti mmoja, kila mmoja na uelewa wake.
Usimshirikishe Mwenyezi Mungu na Bahati na Nyota. Hiyo ni shirki, Mwenyezi Mungu hashirikishwi na chochote.
Hiyo unayoiita "destiny" ndiyo nini hiyo/hicho?
Maneno ya nani hayo?Mambo ya nyota siyafaham na hua siyaamini. Lakini kuhusu bahati nnaielewa sana. Kwetu wakristo imeandikwa hata Kwa katika Biblia.
Mhubiri 9:11
Tena, nimeona kitu kimoja hapa duniani, kwamba wenye mbio hawafaulu katika riadha, wala wenye nguvu hawashindi vita; wenye busara hawapati chakula, wenye akili hawatajiriki, wala wenye ujuzi hawapandi vyeo; lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja.
Si umeona nimeweka rejea?Maneno ya nani hayo?