atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kwahiyo unataka kusema watu kama kina @mpayungu hawana bahati [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwe leo au kesho lazima utakutana na watu sahihi kwako coz kila mtu ana wakati wakeKwahiyo wote wenye pure engagement na jamii wanakutana na watu sahihi na kusaidiwa?
Hakunaga bahati, Ni effort zako zinakutana na opportunity ..ndio munaita lucky, but Mimi naamini hakuna bahati katika maisha. Chochote kiruzi ama kibaya kikitokea kwenye maisha yako, hiyo Ni nature imeamua hivyo.
Asilimia 99.Heee kwahiyo wachaga wanaabudu Mali??[emoji848][emoji848]
Mungu anaijua destiny yako halafu umepata bahati hahahaahNgoja na mimi nidokeze
1. Mungu anasema katika biblia kuwa nalikujua kabla ya kuzaliwa maana yake anajua destiny yako nzima
2. Yesu alipozaliwa wale mamajusi waliona nyota yake iking' aa sana na wakamfuata maana yake ni kuwa alizaliwa akiwa na bahati
3. Yusufu alizaliwa katika familia masikini lakini kutokana na bahati aliweza kuwa waziri mkuu wa Misri licha ya kuuzwa na kutupwa na nduguze
Tuje kwetu sasa
1. Kule tu kuzaliwa na wazazi matajiri ni bahati na mtoto huwa hachagui azaliwe na nani fikiria mtoto anazaliwa na Bhakresa huku kule Tandale anazaliwa mtoto kwenye nyumba ya mbavu za mbwa lakini huyu mtoto akiwa na bahati anaweza pindua meza kuliko hata Bhakresa mwenyewe pia anaweza kuwa masikini wa kutupwa kuliko wazazi wake
2. Kulelewa na kukua na wazazi wote ni bahati hebu fikiria mtoto anazaliwa na punde wazazi wanakufa na kuwa yatima asikwambie mtu kutoboa ukiwa yatima ni kazi sana na inahitaji bahati sana kutoboa ila wapo waliofanikiwa ndo tunaita bahati hio
3. Kufanikiwa kusoma na kuwa na akili na uelewa darasani na katika maisha ni bahati ....huku wewe umejua kusoma na kuandika kabla ya kuingia darasa la kwanza kuna wenzako vichwa ni vizito sana hawaambulii chochote darasani na hata shule walifeli wakapata bahati upsnde meingine wa maisha wakatoboa ila trust me lile ombwe la kukosa elimu linawatesa sana hutakiwi kulaumu kukosa ajira na elimu yako mshikuru Mungu hio ni bahati sana kuwa na subra utafanikiwa tu na utatoboa vizuri tu
4 . Kufanikiwa kuoa au kuolewa na mtu sahihi ni bahati .. hapa mifano hai ni mingi tu
5. Mwisho ndugu zangu bahati zipo kuna watu hawatumii nguvu nyingi wala akili nyingi kupush mishe zao na wanatusua tu japo suala la bahati ni subjective ila lipo ukitaka kujua ngoja siku nyota yako ichafuke utajuta kuzaliwa
CHEKA SANA, SIMULIA SANA ILA OMBA YASIKUKUTE
Iwe leo au kesho lazima utakutana na watu sahihi kwako coz kila mtu ana wakati wake
Bahati ni kamali Mzee....... Don't argue in gamblingHiyo wakati wake ambayo hauijui ni lini ndio Bahati yenyewe Sasa.
Bahati ni kamali Mzee....... Don't argue in gambling
Tunachokifanya ni kusubiri wakati sahihi na watu sahihi ambao mwenyezi mungu amewapanga kwenye destiny yetu kukutana nao
Ww ulikutana na watu sahihi kwenye harakati zako za kazi ambao walitambua kipaji chako na juhudi ambazo zilipelekea mafanikio yako
Leo hii ungekutana na watu ambao sio sahihi katika kutambua potential yako ungekuwa unazungumza tofauti kabisa
Enyoy your destiny and not otherwise
Nimefuatilia comments za members apa nami nina kitu cha kutoa kichwani
Wiki mbili zilizopita nilinusurika kukosa ajira kisa nauli sh 14000 milango yote ya kupata nauli zilifeli nilileta uzi jf hapa mods wali futa mara 3 nikaona isiwe kesi.
Kumpigia simu alieniita kua vip kuna deadline akajibu sisi tumekuita hapo imepita siku niliyoitwa kisa nauli
Wakati nipo njiani sielewi hili wala lile kisa nauli nakosa mchongo? Nikapata wazo gafla kuuza scanner yangu ya halotel finger print
Nikauza kwa 30000 kwenda nilikoitwa nikaambiwa nimepitiisha siku japo niliomba radhi nikaambiwa njoo anze kazi juma 3 na ilikua alhamisi
Sasa wapi nakaa kumbuka ni wilaya mbili tofauti nyumbani natokaje sina ata pesa
Siku nafika maskani nikapata pesa imeingia ya mshahara wa kazini nilikokua awali apo tumeisotea kama mwezi na nusu hivi
Mwisho nilimbiwa nikikosa kuja juma 3 nafasi sitoikuta tena hapa napo naweza sema Mungu akiamua kukufanikishia jambo kuna mambo yanakuja automatically out of your normal sense
Unadhani Hussein Mwinyi,Ridhione Kikwete,Fred Lowassa, January Makamba na Dada yake,hao wote wanabahati au wanaconnection?Hiyo connection unaipataje?
Unadhani Hussein Mwinyi,Ridhione Kikwete,Fred Lowassa, January Makamba na Dada yake,hao wote wanabahati au wanaconnection?
Afadhari menopause umeanza maana malezi KazAlhamdulillahi, nimejaa tele.
= afadhaliAfadhari menopause umeanza maana malezi Kaz
Hahahahaha we mdashi= afadhali
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Wewe comment yako ya kwanza uliandika kamari =kamali= afadhali
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?