Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

Inatakiwa kuwa makini,Sio vizuri kupotosha umma..Msahihishaji ambaye ni NBAA ndio mwenye majibu sahihi ya ule mtihani.
Tusubili Majibu April 25,2025..
Hizo alama ishirini umezikuta wapi???
Huu mtihani umeukuta wapi??Uliupataje mpaka ukaunakili???
ACHA hasira Yani 2+2=4 Dunia inajua, tusubiri NBAA!!😅😅😅
 
Back
Top Bottom