wakat pass mark 90😄😄Mnapeana presha
Nashukuru walitunyima calculator lakini nimefanikiwa kupita kwa uwezo wake mungu tu "Alhamdulilaahi..🙏Lile swali la mwisho la calculations majibu yake ni hayo hapo.
Lilikua na marks 20 lote.
Ukilikosa lote means 20 marks zinaondoka.