Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

Na kweli lilikuwa na 5 marks only maana iliandikwa kabisa section three 5 marks
Itakua tu ilikua ni typing error coz ukiangalia section A maswali ya multiple choice yalikua 20 kila moja marks 2.5 total yake ni 50/%, section B yale ya true and force yalikua 15 kila moja marks 2 total inakua 30% hilo la mwisho automatically litakua na 20% ili kufanya total ya 100%.
 
Sawa
 
Lile swali la mwisho la calculations majibu yake ni hayo hapo.
Lilikua na marks 20 lote.
Ukilikosa lote means 20 marks zinaondoka.
Kama ni mbinu ya kuwa felisha watu wasitumie calculator hapo walifanikiwa pakubwa sana sababu ukweli ni kwamba wengi tunajua hizo calculation isipokuwa tu kuzuia matumizi ya culculator hakuleti maana yoyote zaid ya kuwanyima watu haki zao za kufanya usahili kwa haki, yani mtu ukazidishe namba nzima ipo kwenye malaki maybe au mamilion kwa decimal hapo kuna fair gani ya mtahiniwa kupata jibu sahihi..🤔 yani swali ni la calculation lakini pia una ambiwa mtu huruhusiwi kutumia calculator kwakweli haikuwa fair ni uwonevu tu kama uwonevu mwingine..🤔
 
Utashangaa wengine watalipata hata bila kutumia Calculator. Hapo ndio utofauti utaonekana nani anajua zaidi ya mwingine. Kuchuja laki hadi upate buku sio mchezo
 
Ni kweli hata mm naweza kupata nusu ya swali kwa maana pale kuna njia ya kufata kila hatua na wengine wakapata lote ni sawa sio mbaya lakini haki tumenyimwa kwa kufelishwa makusudi.
 
Railway development levy inajumuishwa kwenye VAT ?
Nijuavyo kama umepewa rate za railway development, huwezi kutafuta VAT bila kucalculate railway development kwanza.
 
Ok,basi calculate ya magari inakuwa tofauti
 
Attachments

  • PDFReader_Convert_20250426_050237_1.jpg
    PDFReader_Convert_20250426_050237_1.jpg
    176.5 KB · Views: 27
Back
Top Bottom