Kama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna TAPELI WA JUICE wacha nikufahamishe;-

Kama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna TAPELI WA JUICE wacha nikufahamishe;-

Huyu muuza juisi mwenyewe lazima atakuwa katokea mikoani...
Anajua jinsi ya watu wa mikoani walivyorahisi kuingilika na salamu ya kupeana mkono....
Kama umeishi Dar tokea utotoni, huwa hatuna hulka ya kuzungumza na mtu usiemjua....
Halafu wako humu wakijibu wakiwa mikoani kuwa hawatapeliki, wakati mtaji wa matapeli Dar ni watu wa mikoani....
Umenena mkuu yani ukulie hapa town utapelike na michezo ya zamani. Ni nadra sana...
 
Anyway mengi yameongelewa humu. Huyo jamaa miaka kadhaa nyuma alikuwa hafanyi kama hivi manvyosema. Au labda amebadilika Sasa hivi. Alikuwa ana kusimamisha anakusalimia. Then anajifanya anakujua kama kawaida yake hata kama ukimkataa kuwa hamjuani anakomaa anakujua. Lakini mwisho wa siku anakuomba umsapoti kwakuwa naye anapambana na maisha. Hapo ndioo alipopata umaarufu. Na hilo eneo akabaki yeye peke yake wengine wengi waliondolewa. Ila yeye kwa style yake hiyo alikuwa anajulikana Hadi na mgambo wa Jiji. Wakawa wanamuacha kwa nini sijui. Jamaa amekuwa maarufu sana Hilo eneo. So wengi wanaomjua huwa hawasimami akiwasimamisha lakini wengine wanaenda kumsapoti. Wengi msichokijua dar Ina watu wenye huruma ya kutoa pesa kuliko mikoa yote ya Tanganyika. Halafu alikuwa ana kuuliza aweke ya jero au buku. Kama kabadilisha mbinu na kuwa tapeli moja kwa moja basi mwisho wake unakaribia ila hakuwa hivyo mwanzoni.
 
Kama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna TAPELI WA JUICE wacha nikufahamishe;-
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida kuwahi kutokea TANZANIA,

Mkoani DAR ES SALAAM kuna muuza juice mmoja tapeli,

Ambae hugawa juice kwa kila mtu ambae hupita katika eneo lake la biashara,

Bila kujali kama yeye anakujua au hakujui,

Na baada ya kukupa usipo lipa hukuanzishia ugomvi na kukudai pesa,

Kama vile mulikubaliana kuuziana juice,

Na mtu huyo siyo mwengine ni huyo hapo chini,

Je unataka kujua mtu huyo yupo maeneo gani,

Mtu huyo ukiwa unatokea kariakoo kwenda karume,

Yupo jirani na kiwanda cha bia ambapo ukimaliza tu ukuta wa kiwanda hicho,

Ndipo alipo muuza juice huyo nadhani watu wa dar es salaam munalifahamu hilo eneo,

Sasa anacho kifanya muuza juice huyo ni kwamba,

Ukipita hukusalimia ukiitikia tu hapo ndipo utapeli wake unapoanza,

Ambapo huanza kukuchangamkia kwa kukuuliza maswali kama vile anakujua,

Wakati wala hakujui na wala hamujawahi kuonana,

Lakini yeye hukuuliza maswali kama anakujua,

Utasikia anakuuliza hivi pale umehama au bado uko palepale,

Au anaweza kukuuliza vipi chuo umemaliza au bado,

Na maswali mengine mengi ya kuonesha kama anakujua hivi,

Sasa wakati anakuuliza hayo maswali ukiitikia hukulazimisha usimame,

Na kukuomba usogee anapouza juice yake,

Ukisogea tu anakupa juice bila maelewano yoyote,

Huku akikusisitiza unywe bila shida na bila wasiwasi na uondoe shaka kuhusu malipo,

Wakati unakunywa anaendelea kukupigisha stori kama vile munajuana,

Sasa ukimaliza tu kunywa huanza kukudai pesa,

Tena juice glasi moja huuza buku badala ya jero,

Na ukimwambia huna hela huanzisha ugomvi hapo hapo,

Na wakati mwengine huanza kukusachi mifukoni,

Na wakati mwengine muuza juice huyo hukunyang'anya vitu ulivyo kuwa nazo,

Huku akikuita wewe ni tapeli na umezoea kutapeli watu,

Wakati wewe ulikua unapita zako tu wala hukuwa na mpango nae,

Huyu jamaa amegombana na watu wengi sana,

Na amewanunulisha watu juice zake bila kupenda,

Lakini pia amewanyanganya watu wengi pesa na vitu vyengine,

Kupitia njia hiyo ya utapeli anayoitumia kwa miaka mingi,

Huyo mtu mpaka sasaivi ninavyokuletea makala hii,

Yupo hilo eneo anaendelea na hiyo biashara,

Na ukipita hata sasaivi lazima atakufanyia nilicho kisema hapo juu,

Watu wa dar es salaam kuweni makini sana na huyo mtu,

Kwasababu watu wengi wametapeliwa na huyo jamaa kwa njia hiyo.View attachment 3620361
HUYU SIO TAPELI
ANATUMIA FURSA ZA UJINGA WENU KUPENDA VYA BURE

WE UNAPEWA JUICE NA USIEMJUA ALAFU UNYWE UONDOKE AMEKUWA MAMAKO MZAZI

MSITUCHOSHE MNATUAIBISHA SANA SIJUI KABILA GAN WEWEE

MM HATA PIPI SIPOKEI KWA NISIEMJUA ATI UNAKUNYWA UNADAIWA ..ASIKUDAI UNAMSAIDIA KODI YA KULIPA PALE ALIPO


HAYA MAMBO KUTANA NAYO SGR NDIO UTASHAAA......MM MARA YA KWANZA KUPANDA SGR JAMAA WAPEMBEN ALIPEWA VISCUIT NA SODA AKAFUNGUAA FASTA..

NKAULIZA AINA YANGU YA KINYWAJJ WALIPOSEMA IPO LA KWANZA SH NGAPI

JAMAA ANAKARIBIA KUMALIZIA AKAOMBWA HELA BAFO KIDOGO MSHIPA UMTOKE

ATI ALIPEWA BURE NYOOOO SGR YA BABAYAKO

JAMA ANASHUKA HANA HAMU.....NDIO HAYA NDUGU CHA BURE GHARAMA...KEMEA KAMA UNA HILOPEPO

NSIJECHELEWA KWENDWA KUSWALI IJUMAA BADAE
 
MAN OF THE MATCH
HAHAHAHAHAHAHQ

UUMEBAKIZA 1500 KUFIKA KWENU

UNAPEWA JUICE YA 500 UNAKUNYWA

UTATEMBEAAA TU KAMA WALE WANAOPONA KWA MWAMPOSA HAKUNA JINSI
 

Attachments

  • 1782972693709.jpg
    1782972693709.jpg
    61.6 KB · Views: 14
znz wanasema ukipenda kula sharti


..........uliwe sheeheeee

haya mambo ya bure kunywa dar

znz hakuna kuponaa shehee...........
 
Hivi huwa mnakuwa hamna shughuli za kufanya mpaka mnajipitisha mbele ya huyo jamaa, awasimamishe, aanze kuwauliza maswali, na baadaye awape hiyo juisi yake mnywe?

Halafu ni kwa nini wabongo mnapenda sana kula na kunywa hovyo barabarani? Hiyo juisi mnayokunywa barabarani mnayafahamu mazingira ya huko ilikoandaliwa?

Inakuwaje watu tunaowategemea kuwa wajanja mnakuwa wajinga na washamba wa kiwango hiki!
Kwanza unakunywaje juisi iliyowekwa kwenye chupa iliyotumika???

Ina maana hiyo chupa iliokotwa, na hujui iliokotwa mazingira gani.

Nyingine unakuta mtu kanywa maji yameisha anatemea makohozi, watu wakiokota wanasuuza kisha unawekewa juisi na wewe unakunywa.
 
Nilipita hapo akanipigisha story na juice nilikataa. Kinachoniokoaga mara nyingi na utapeli ni kauli mbiu yangu.

"NEVER GET DISTRACTED."

Yani nikiwa na safari mtaa wa Congo sipotezi zaidi ya dakika moja hapa katikati hata ulete kujuana mimi huwa nafocus na destination yangu.

Huyo bwana ananiongelesha huku anaandaa juisi nkajua tu walewale!
Kuna ujinga ni mwingi sana hapo Kariakoo, kama huna uhakika na shida iliyokupeleka jiandae kwa majanga ya kuibiwa au kutapeliwa.
 
Eti wanasingizia wa mikoani ,ni hao hao wa Dar ndio wateja wake . Mnajiona wajanja wakati kwenye kikombe cha babu Mwasapile mlienda pia.
 
Wewe unayekunywa kunywa tu mavitu hovyo barabarani kwa kuaminishwa ni juisi ndio una shida hapo...
 
Vidume wa daslam wanakuaje? Mbona jamaa wa kawaida sana huyu
 
Kama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna TAPELI WA JUICE wacha nikufahamishe;-
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida kuwahi kutokea TANZANIA,

Mkoani DAR ES SALAAM kuna muuza juice mmoja tapeli,

Ambae hugawa juice kwa kila mtu ambae hupita katika eneo lake la biashara,

Bila kujali kama yeye anakujua au hakujui,

Na baada ya kukupa usipo lipa hukuanzishia ugomvi na kukudai pesa,

Kama vile mulikubaliana kuuziana juice,

Na mtu huyo siyo mwengine ni huyo hapo chini,

Je unataka kujua mtu huyo yupo maeneo gani,

Mtu huyo ukiwa unatokea kariakoo kwenda karume,

Yupo jirani na kiwanda cha bia ambapo ukimaliza tu ukuta wa kiwanda hicho,

Ndipo alipo muuza juice huyo nadhani watu wa dar es salaam munalifahamu hilo eneo,

Sasa anacho kifanya muuza juice huyo ni kwamba,

Ukipita hukusalimia ukiitikia tu hapo ndipo utapeli wake unapoanza,

Ambapo huanza kukuchangamkia kwa kukuuliza maswali kama vile anakujua,

Wakati wala hakujui na wala hamujawahi kuonana,

Lakini yeye hukuuliza maswali kama anakujua,

Utasikia anakuuliza hivi pale umehama au bado uko palepale,

Au anaweza kukuuliza vipi chuo umemaliza au bado,

Na maswali mengine mengi ya kuonesha kama anakujua hivi,

Sasa wakati anakuuliza hayo maswali ukiitikia hukulazimisha usimame,

Na kukuomba usogee anapouza juice yake,

Ukisogea tu anakupa juice bila maelewano yoyote,

Huku akikusisitiza unywe bila shida na bila wasiwasi na uondoe shaka kuhusu malipo,

Wakati unakunywa anaendelea kukupigisha stori kama vile munajuana,

Sasa ukimaliza tu kunywa huanza kukudai pesa,

Tena juice glasi moja huuza buku badala ya jero,

Na ukimwambia huna hela huanzisha ugomvi hapo hapo,

Na wakati mwengine huanza kukusachi mifukoni,

Na wakati mwengine muuza juice huyo hukunyang'anya vitu ulivyo kuwa nazo,

Huku akikuita wewe ni tapeli na umezoea kutapeli watu,

Wakati wewe ulikua unapita zako tu wala hukuwa na mpango nae,

Huyu jamaa amegombana na watu wengi sana,

Na amewanunulisha watu juice zake bila kupenda,

Lakini pia amewanyanganya watu wengi pesa na vitu vyengine,

Kupitia njia hiyo ya utapeli anayoitumia kwa miaka mingi,

Huyo mtu mpaka sasaivi ninavyokuletea makala hii,

Yupo hilo eneo anaendelea na hiyo biashara,

Na ukipita hata sasaivi lazima atakufanyia nilicho kisema hapo juu,

Watu wa dar es salaam kuweni makini sana na huyo mtu,

Kwasababu watu wengi wametapeliwa na huyo jamaa kwa njia hiyo.View attachment 3620361
Anawadharau wazaramo aje mkoani aone moto 😂
 
Huyu jamaa yupo hata kabla ya Magufuli kuwa Rais ,nilikuwa jamaa ameshapata kizimba mule ndani sokon
 
Inashangaza sana. Yaani unapita tu barabarani unapewa juice na wewe unakunywa tu bure bure!
Jamaa haanzi kukupa juice Bali anaanza na maswali then wakati unajiandaa kujibu anakukaribisha na hiko kinywaj ili ujibu vizuri maswali yake ,kwa nature ya watu wadarisalaam wanavyopenda ndumba Katika bize zao nahakika haka kajamaa anakandumba kake cha kuwatia watu ulofa nakuwapumbaza
 
Back
Top Bottom