RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Na wakiangalia mtu wanajua huyu mbwiga ngoja tumpige.Hao jamaa hapo wapo miaka 20 nikiwa kijana mdogo naona wanarithishana hapo wanawapiga wajinga tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wakiangalia mtu wanajua huyu mbwiga ngoja tumpige.Hao jamaa hapo wapo miaka 20 nikiwa kijana mdogo naona wanarithishana hapo wanawapiga wajinga tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Siyo kila mtu, ana watu wake ambao akiwaangalia huwa anaona ana wamudu.
Wanaogopa kusema wengi wamekunywa na wamelipishwa😂😂Kwahiyo humu kila mtu hanywi hizo juice sio🤔
Unaweza kunywa juice ya kupewa barabarani?Kwa kuwa umetuhadharisha na utapeli huo, ole wake tupite hapo halafu atuite kutupa juisi yake ataipata freshi kama wale matapeli wa kwenye simu za kukosea miamala
ndio nashangaa utapewaje juisi na mtu usiyemjua? Una uhakika gani kama hiyo juisi ni salama?Unaweza kunywa juice ya kupewa barabarani?
Watanzania kuna namna bongo zetu hazichakati mambondio nashangaa utapewaje juisi na mtu usiyemjua? Una uhakika gani kama hiyo juisi ni salama?
unashangaa? Wapo mpaka wale wa kutabiria watu matatizo yao kisha wanadai helaDah, ilikuwa mwaka 2014 ndio kwanza mgeni mgeni dar alooh kumbe hadi sasa yupo
Tanzania ni nchi ya ajabu kidogo. Unatembea barabarani, unakutana na mtu asiyekujua, anakusalimia, na kujifanya anakufahamu, anamimina juisi anakupa na wewe unakunywa. Da.... sina la kusema. Hata kama una kiu ya kufa mtu lakini hii ni hatari sana. Miaka ya nyuma niliingia pub moja nikiwa na mfuko wa kaki. Sijakaa sawa akaingia jamaa mmoja akaanza kunichangamkia na kukaa meza moja na mimi. Hatujapiga story sana akaingia mtoto mdogo kama miaka 9 akamwambia, ''amesema msubiri anakuja sasa hivi''. Mara jamaa akanza kunipa story zake kuwa ana huyo demu wake amekuja kumtoa out. Baada ya muda kweli wakaingia mademu wawili wakali, wamebeba mfuko. Wakaa kwenye ile meza na jamaa akanitambulisha i.e. demu wake na rafiki yake. Akawaagizia bia wakasema hazina ubaridi wa kutosha, ila wao wamekuja na bia za kopo zenye ubaridi mzuri. Wakatoa nne, kila mtu yake, yaani na mimi nikapata offer ya bia ya kopo baridiiii. Nikasema asante lakini nimetosheka nikamaliza bia yangu nikawaaga. Jamaa yuko... vipi bro subiri angalau kunywa moja tu unipe company.... Kipindi hicho kulikuwa sana na mchezo wa watu kuwekewa madawa ya usingizi kwenye vinywaji...Na wakiangalia mtu wanajua huyu mbwiga ngoja tumpige.
Good mkuuTanzania ni nchi ya ajabu kidogo. Unatembea barabarani, unakutaka na mtu asiyekujua, anakusalimia, na kujifanya anakufahamu, anamimina juisi anakupa na wewe unakunywa. Da.... sina la kusema. Hata kama una kiu ya kufa mtu lakini hii ni hatari sana. Miaka ya nyuma niliingia pub moja nikiwa na mfuko wa kaki. Sijakaa sawa akaingia jamaa mmoja akaanza kunichangamkia na kukaa meza moja na mimi. Hatujapiga story sana akaingia mtoto mdogo kama miaka 9 akamwambia, ''amesema msubiri mnakuja sasa hivi''. Mara jamaa akanza kunipa story zake kuwa ana huyo demu wake amekuja kumtoa out. Baada ya muda kweli wakaingia mademu wawili wakali, wamebeba mfuko. Wakaa kwenye ile meza na jamaa akanitambulisha i.e. demu wake na rafiki yake. Akawaagizia bia wakasema hazina ubaridi wa kutosha, ila wao wamekuja na bia za kopo zenye ubaridi mzuri. Wakatoa nne, kila mtu yake, yaani na mimi nikapata offer ya bia ya kopo baridiiii. Nikasema asante lakini nimetoshaka nikamaliza bia yangu nikawaga. Jamaa yuko... vipi bro subiri angalau kunywa moja tu unipe company.... Kipindi hicho kulikuwa sana na mchezo wa watu kuwekewa madawa ya usingizi kwenye vinywaji...