Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Umenena mkuu yani ukulie hapa town utapelike na michezo ya zamani. Ni nadra sana...Huyu muuza juisi mwenyewe lazima atakuwa katokea mikoani...
Anajua jinsi ya watu wa mikoani walivyorahisi kuingilika na salamu ya kupeana mkono....
Kama umeishi Dar tokea utotoni, huwa hatuna hulka ya kuzungumza na mtu usiemjua....
Halafu wako humu wakijibu wakiwa mikoani kuwa hawatapeliki, wakati mtaji wa matapeli Dar ni watu wa mikoani....
Wakijua kuendesha boda kwenye vumbi wanakuja mjini kutuchafulia hali ya hewa.....Washamba wengi hapa Dar ni wakuja hata bodaboda wengi wapumbavu wamekuja Dar ukubwani.
HUYU SIO TAPELIKama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna TAPELI WA JUICE wacha nikufahamishe;-
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida kuwahi kutokea TANZANIA,
Mkoani DAR ES SALAAM kuna muuza juice mmoja tapeli,
Ambae hugawa juice kwa kila mtu ambae hupita katika eneo lake la biashara,
Bila kujali kama yeye anakujua au hakujui,
Na baada ya kukupa usipo lipa hukuanzishia ugomvi na kukudai pesa,
Kama vile mulikubaliana kuuziana juice,
Na mtu huyo siyo mwengine ni huyo hapo chini,
Je unataka kujua mtu huyo yupo maeneo gani,
Mtu huyo ukiwa unatokea kariakoo kwenda karume,
Yupo jirani na kiwanda cha bia ambapo ukimaliza tu ukuta wa kiwanda hicho,
Ndipo alipo muuza juice huyo nadhani watu wa dar es salaam munalifahamu hilo eneo,
Sasa anacho kifanya muuza juice huyo ni kwamba,
Ukipita hukusalimia ukiitikia tu hapo ndipo utapeli wake unapoanza,
Ambapo huanza kukuchangamkia kwa kukuuliza maswali kama vile anakujua,
Wakati wala hakujui na wala hamujawahi kuonana,
Lakini yeye hukuuliza maswali kama anakujua,
Utasikia anakuuliza hivi pale umehama au bado uko palepale,
Au anaweza kukuuliza vipi chuo umemaliza au bado,
Na maswali mengine mengi ya kuonesha kama anakujua hivi,
Sasa wakati anakuuliza hayo maswali ukiitikia hukulazimisha usimame,
Na kukuomba usogee anapouza juice yake,
Ukisogea tu anakupa juice bila maelewano yoyote,
Huku akikusisitiza unywe bila shida na bila wasiwasi na uondoe shaka kuhusu malipo,
Wakati unakunywa anaendelea kukupigisha stori kama vile munajuana,
Sasa ukimaliza tu kunywa huanza kukudai pesa,
Tena juice glasi moja huuza buku badala ya jero,
Na ukimwambia huna hela huanzisha ugomvi hapo hapo,
Na wakati mwengine huanza kukusachi mifukoni,
Na wakati mwengine muuza juice huyo hukunyang'anya vitu ulivyo kuwa nazo,
Huku akikuita wewe ni tapeli na umezoea kutapeli watu,
Wakati wewe ulikua unapita zako tu wala hukuwa na mpango nae,
Huyu jamaa amegombana na watu wengi sana,
Na amewanunulisha watu juice zake bila kupenda,
Lakini pia amewanyanganya watu wengi pesa na vitu vyengine,
Kupitia njia hiyo ya utapeli anayoitumia kwa miaka mingi,
Huyo mtu mpaka sasaivi ninavyokuletea makala hii,
Yupo hilo eneo anaendelea na hiyo biashara,
Na ukipita hata sasaivi lazima atakufanyia nilicho kisema hapo juu,
Watu wa dar es salaam kuweni makini sana na huyo mtu,
Kwasababu watu wengi wametapeliwa na huyo jamaa kwa njia hiyo.View attachment 3620361
Ha aw a washazoea vya bure wacha Wangatwe m kuuHivi binadamu mwenye akili timamu anaweza vipi kupokea kitu kutoka kwa mtu usiyemjua!? Ok tufanye una mjua ,je unaweza vipi kunywa juisi ambayo hujui mazingira ya utengenezaji wake!? Vipi swala la afya yako!!?
Mimi nadhani tapeli ni wale wanaokunywa hiyo juisi
Kwanza unakunywaje juisi iliyowekwa kwenye chupa iliyotumika???Hivi huwa mnakuwa hamna shughuli za kufanya mpaka mnajipitisha mbele ya huyo jamaa, awasimamishe, aanze kuwauliza maswali, na baadaye awape hiyo juisi yake mnywe?
Halafu ni kwa nini wabongo mnapenda sana kula na kunywa hovyo barabarani? Hiyo juisi mnayokunywa barabarani mnayafahamu mazingira ya huko ilikoandaliwa?
Inakuwaje watu tunaowategemea kuwa wajanja mnakuwa wajinga na washamba wa kiwango hiki!
Sijawahi, nauliza tu kwa niaba ya wanywaji!Wewe si umesema unakunywa? Mpo mnaokunywa. Kula na kunywa barabarani (huyo jamaa yupo barabarani) sio tabia ya kila mtu.
Inashangaza sana!Kwanza unakunywaje juisi iliyowekwa kwenye chupa iliyotumika???
Ina maana hiyo chupa iliokotwa, na hujui iliokotwa mazingira gani.
Nyingine unakuta mtu kanywa maji yameisha anatemea makohozi, watu wakiokota wanasuuza kisha unawekewa juisi na wewe unakunywa.
Kuna ujinga ni mwingi sana hapo Kariakoo, kama huna uhakika na shida iliyokupeleka jiandae kwa majanga ya kuibiwa au kutapeliwa.Nilipita hapo akanipigisha story na juice nilikataa. Kinachoniokoaga mara nyingi na utapeli ni kauli mbiu yangu.
"NEVER GET DISTRACTED."
Yani nikiwa na safari mtaa wa Congo sipotezi zaidi ya dakika moja hapa katikati hata ulete kujuana mimi huwa nafocus na destination yangu.
Huyo bwana ananiongelesha huku anaandaa juisi nkajua tu walewale!
Anawadharau wazaramo aje mkoani aone moto 😂Kama ulikua hujui kuwa DAR ES SALAAM kuna TAPELI WA JUICE wacha nikufahamishe;-
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida kuwahi kutokea TANZANIA,
Mkoani DAR ES SALAAM kuna muuza juice mmoja tapeli,
Ambae hugawa juice kwa kila mtu ambae hupita katika eneo lake la biashara,
Bila kujali kama yeye anakujua au hakujui,
Na baada ya kukupa usipo lipa hukuanzishia ugomvi na kukudai pesa,
Kama vile mulikubaliana kuuziana juice,
Na mtu huyo siyo mwengine ni huyo hapo chini,
Je unataka kujua mtu huyo yupo maeneo gani,
Mtu huyo ukiwa unatokea kariakoo kwenda karume,
Yupo jirani na kiwanda cha bia ambapo ukimaliza tu ukuta wa kiwanda hicho,
Ndipo alipo muuza juice huyo nadhani watu wa dar es salaam munalifahamu hilo eneo,
Sasa anacho kifanya muuza juice huyo ni kwamba,
Ukipita hukusalimia ukiitikia tu hapo ndipo utapeli wake unapoanza,
Ambapo huanza kukuchangamkia kwa kukuuliza maswali kama vile anakujua,
Wakati wala hakujui na wala hamujawahi kuonana,
Lakini yeye hukuuliza maswali kama anakujua,
Utasikia anakuuliza hivi pale umehama au bado uko palepale,
Au anaweza kukuuliza vipi chuo umemaliza au bado,
Na maswali mengine mengi ya kuonesha kama anakujua hivi,
Sasa wakati anakuuliza hayo maswali ukiitikia hukulazimisha usimame,
Na kukuomba usogee anapouza juice yake,
Ukisogea tu anakupa juice bila maelewano yoyote,
Huku akikusisitiza unywe bila shida na bila wasiwasi na uondoe shaka kuhusu malipo,
Wakati unakunywa anaendelea kukupigisha stori kama vile munajuana,
Sasa ukimaliza tu kunywa huanza kukudai pesa,
Tena juice glasi moja huuza buku badala ya jero,
Na ukimwambia huna hela huanzisha ugomvi hapo hapo,
Na wakati mwengine huanza kukusachi mifukoni,
Na wakati mwengine muuza juice huyo hukunyang'anya vitu ulivyo kuwa nazo,
Huku akikuita wewe ni tapeli na umezoea kutapeli watu,
Wakati wewe ulikua unapita zako tu wala hukuwa na mpango nae,
Huyu jamaa amegombana na watu wengi sana,
Na amewanunulisha watu juice zake bila kupenda,
Lakini pia amewanyanganya watu wengi pesa na vitu vyengine,
Kupitia njia hiyo ya utapeli anayoitumia kwa miaka mingi,
Huyo mtu mpaka sasaivi ninavyokuletea makala hii,
Yupo hilo eneo anaendelea na hiyo biashara,
Na ukipita hata sasaivi lazima atakufanyia nilicho kisema hapo juu,
Watu wa dar es salaam kuweni makini sana na huyo mtu,
Kwasababu watu wengi wametapeliwa na huyo jamaa kwa njia hiyo.View attachment 3620361
Jamaa haanzi kukupa juice Bali anaanza na maswali then wakati unajiandaa kujibu anakukaribisha na hiko kinywaj ili ujibu vizuri maswali yake ,kwa nature ya watu wadarisalaam wanavyopenda ndumba Katika bize zao nahakika haka kajamaa anakandumba kake cha kuwatia watu ulofa nakuwapumbazaInashangaza sana. Yaani unapita tu barabarani unapewa juice na wewe unakunywa tu bure bure!