Kama ulikua huzijui haki zako ukikamatwa na POLICE wacha nikufahamishe

Kama ulikua huzijui haki zako ukikamatwa na POLICE wacha nikufahamishe

Kaka nilijaribu kuuliza baadhi ya hayo maswali .ndiyo kama nilikuwa nimechokoza nyuki ....nikaambiwa najifanya mjuaji ndiyo nikapigwa zaidi ya wote kipigo kitakatifu
Sheria inaruhusu baada ya kesi yako kuishia kumfungulia mashtaka askari alie kupiga ikiwa ukitii Sheria bila shuruti
 
Anaekuja kukukamata mwenyewe alifeli 4m4 unategemea moshi alifaulu elimu haki.?
Ukitaka kujua yeye alifeli pale moshi,Mwambie haki zako ndo atakujibu unajifanya mjuaji huku akikulamba kofi la mgongo(maana kiuhalisia yy hajui!)
 
Kama ulikua huzijui haki zako ukikamatwa na POLICE wacha nikufahamishe;-
View attachment 3393153 Watu wengi hawajui haki zao wakikamatwa na polisi,
Sasa kama huzijui haki zako ni hizo hapa;-

1). Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho, ni haki yako.

2). Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama,
Kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki yako.

3). Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako.

4). Unaruhusiwa na sheria kukataa kukamatwa,
Hata kwa kutumia nguvu kama hukuambiwa sababu ya kukamatwa.

5). Askari anapokiuka taratibu za ukamataji anageuka na kuwa mhalifu ni haki yako kujikinga naye.

6). Askari haruhusiwi kukuvuta shati, kukukaba koo, kukushika suruali kama hujakataa kutii amri halali.

7). Askari haruhusiwi kuondoka na mtu mwingine baada ya kumkosa mtuhumiwa halisi.

8). Askari haruhusiwi kupekua nyumba ya mtu bila kibali cha kupekua.

9). Askari lazima akuoneshe kibali cha kupekua na ukisome.

10). Kibali kieleze jina la aliyekitoa, kituo kilipotolewa,jina la mtu au sehemu ya upekuzi, au uchanganuzi wa mtu au sehemu.

11). Hairuhusiwi kupekuliwa usiku kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 12 asubuhi.

12). Ni haki yako kumpekua askari kabla hajakupekua ili asipandikize kitu.

13). Usipekuliwa nyumbani bila kuwapo kiongozi wa mtaa.

14). Kila kitakachochukuliwa katika upekuzi lazima kiandikwe na askari aweke sahihi.

15). Mali iliyochukuliwa katika upekuzi lazima ibaki salama.

16). Mwanaume haruhisiwi kumpekua mwanamke na mwamke haruhisiwi kwa mwanaume.

17). Unaruhusiwa kukataa kupekuliwa iwapo taratibu hizi hazikufuatwa.

18). Askari haruhusiwi kukutukana wala kukupiga.

19). Unaruhusiwa kutozungumza lolote mpaka unayemuamini afike uwapo chini ya ulinzi, ni haki yako.

20). Usilazimishwe kuongea au kuandika ambacho hutaki, ni haki yako.

21). Usitoe maelezo bila uhakika yatatumika mahakamani yatakuletea shida.

22). Unaruhusiwa kukaa kimya na usizungumze kitu uwapo chini ya ulinzi.

NB: Haki hizo utazipata nchi nyengine sio nchi ninayo ijua mimi.
Kama uliwahi kusikia "katiba ni kijitabu tu" tegemea lolote katika hii nchi.

Utaswagwa tu na hamna kitu unafanya.
 
Kaka nilijaribu kuuliza baadhi ya hayo maswali .ndiyo kama nilikuwa nimechokoza nyuki ....nikaambiwa najifanya mjuaji ndiyo nikapigwa zaidi ya wote kipigo kitakatifu
Kumbe mlikamatwa kwenye dangulo
 
Pia niwasisitize muwe na kisu,
Wakati mwingine akivunja sheria mtie bisu,
Fundisho lwa askali taifa zima,
Hawa askali wa malawi wanazingua kinoma,
Siku moja naambiwa kaa chini bila sababu,
Mbele za watu kisa kibegi wakakagua wakakuta pesa tuu,
Na tayari nishaaibika ,fedheheka,
Siku nyingine mmoja kajichanganya anachangamoto nimsaidie,
Nilimnyooosha kama malipo ya kituo kizima,
Alikuwa anauza vitu na mimi dalali,nikasema bila risiti kwa kila kitu hatuuzi ni mali haramu,
Mkewe mahututi mbona aliimba kwaya,
Marafiki zake wooote hata kumkopea hamna pesa,
Dawa ya moto moto nakwambia alilia kama kitoto
 
Back
Top Bottom