Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
HahahahKumbe ndo wewe,leo tumekutana. Naomba kiatu change na mkanda😛😛😛😛😛
Jamaa wala haijui Jf nahisi huko aliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahKumbe ndo wewe,leo tumekutana. Naomba kiatu change na mkanda😛😛😛😛😛
Hivi we jamaa ulipotelea wapi?[emoji15] ....we jamaa unanipaga raha nikisoma Posts/ comments zako....Saa nne usiku nimeingia na demu mmoja anaitwa Oliver pale Sepetu Guest House mitaa ya Mwinyi Tabora.
Nilikua namfundisha Tution ya Chemistry alikua form five Kaliua Secondary ipo Urambo.
Kucheki nikagundua nimesahau kununua Soksi. Kutoka pale reception muhudumu akasema hana.
Kutoka mtaani maduka yamefungwa yoteee... Kubabake walay...
Nikapiga hesabu, kwahiyo niende nikamtafune nyama kwa nyama??? Akiwa na UKIMWI??
Na hivi kule Kaliua wanasoma mixture nasikia walikua wanagongana kichizi...
Nikasema Astaghfirullah mama yangu ananitegemea mie. Nikapata na wazo la kurudi home usiku sikurudi Guest.
Na hivi sikua na cm, demu sijui alilala peke yake siku ile.
Hii ni 2007/2008Tupo
Nakumbuka kipindi hiko Green Palm Kunduchi inabamba ile mbaya.
Siku hiyo nikaenda nikakutana na jamaa katoka zake mulemule ndani Club kalewa chakari, akanielewa, akaniomba game tuakelewana tukaenda kulala pale gesti karibu na kona ya msikiti.
Tumefika tukapiga game fresh tu.
Nikamwambia kuwa saa 11 alfajiri inabidi nisepe maana nguo niliyovaa sio, akasema hayakuwa makubaliano yetu.
Hapa hutoki mpaka saa 4 Asubuhi ndipo nakukabidhi mzigo wako.
Mie nikatulia kusubiri nimfanyie umafia.
Jamaa kapiga game, akapitiwa na usingizi, kalala fofofo.
Nikaamka nikaanza kumpiga sachi, piga sachi kila sehemu...holaaa
Nikasema huyu simuachi.
Kumbe pesa kaweka ndani ya kiatu, katoa kapeti kisha kadumbukiza kule.
Nikaziona nikabeba nikatia kwenye maziwa.
Nanyata nafika mlangoni, funguo haupo kumbe aliutoa.
Dah!!
Piga sachi tena...nikaupata kauweka chooni chini ya ndoo ya maji.
Nikafungua nikasepa saa 9 usiku.
Kumkomoa nikaondoka na kiatu chake kimoja na mkanda wa suruali.
Nafika home nahesabu pesa, sh 70 elfu.
Nikasema bora hata hivyo.
Yule jamaa sikuja kuonana nae tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuh nimekumbuka kipindi nasoma undergraduate miaka ya nyuma.. Siku hiyo nilikuwa na ukame balaa wa demu kuna mdada mmoja wa mtaani niliwai kuomba gemu akawa anazingua alikuwa anapenda pesa mnoo.. nikampanga night akatoka akaja maeneo ya riverside hapo nakumbuka nilikuwa na kama 20thousands.. chumba 15 nikamchukulia chipsi mayai 3000 na soda.. nikapiga mzigo.. mida ya saa 7 night nikatoka taraatibu nikasepa nikajua hapa tukiamka asubuhi nakabwa pesa ya supu na nikamblock palepale
Ahaaaaahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....we chiziHakika.
Kama mimi yani hua mshahara ukiinga tu ndani ya hiyo wiki na wiki inayofuata ni kudindisha tu bila utaratibu, iwe kwenye lift, ofisini, yani we acha tu.
Kama sina hela hua haisimami kabisa. Kusimama kwa uume kuko direct proportional na kua na hela, huna hela inasimamaje?!
Haaaaahaaaa....jamani mbavu zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...'eti mi mmachame sikuja mjini kuchekea wanaume' .....haaa haaaNakumbuka nilikuwa bar fulani nasaga mirungi na mvinyo mdogo×2 mara mhudumu akajipendeza basi siku hio tulipeana kampani kwa kweli ila ss huyo mdada alikuwa mtata wa kupenda pesa sana uzuri alinikuta na mm siku hio mambo financial yamekaa vizur kwahiyo tukamlizana fresh,baada ya kama 2 weeks nikahudhuria tena hapo ila safari hii sikuwa na kitu zaid ya hela kula/kunywa na chumba,kama kawaida yake si akajua danga lake nipo fresh wala hata siku hio sikuwa na wazo la kutaka mwanamke ila kwasababu alijileta nikaona poa tuu,yy umechukua chumba no ngap nikamwelekeza baada ya kufunga bar akaja,baada ya sebene la nguvu mida ya saa 8 usku story 2 3 nikamwambia mm leo sina kitu,aisee mbona aliwakia kwenye gia!,akaniambia asubuh utanijua mm ndio mmachame sikuja mjini kuchekea wanaume[emoji23],na mm nikafikiria haraka haraka nikaona asubuh huyu dada anaweza kunijazia inzi na kudhalilishana hapa,basi nikambeleza nikamwambia na ww huniwii,nikaomba game akanipa nilipiga show moja ya uhakika naamin hatanisahau huko alipo,baada ya show si akapitiwa usingizi ilikuwa mida ya saa 5 kasoro,na mm sikutaka kuremba nilivaa zangu fresh nikamuaga mlinzi nawahi mabasi ya mkoani chap
Hiiiihiiiihiiiii.....kupigishwa deki tena[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....haki mnaniua!Siku moja nimepanga miadi na dem wangu ili tukapate moja moto moja baridi,
Ghafla akaja na rafiki zake wawili,jumla tukawa wa 4 ktk meza
Ikanibidi nichkue simu yangu huku nikim text dem wangu kuwa hawa rafki zako wataondoka mida gani?ili watupishe tukapumzike.
Najibiwa wataondoka tu baby wala usisaji,ukizingatia hao marafiki komba kasingiziwa,wanashusha lager kama mashindano ya Promo
Mara wakaagiza mchesho,nikitazama mizani kuna chupa kama 9 za castle na zingine zimeshachkuliwa na mhudumu
Hapo hapo nikajiongeza kama naenda toilet kukojoa vile,,Nilitoka Baruti hadi nje,nikadaka bodaboda Nduki!!!!!
Naskia walipigishwa deki bar yote na kuosha vyombo vya hotelini
Hiiiihiiiihiiiii.....kupigishwa deki tena[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....haki mnaniua!
HahahaaaBuguruni nilikamata kalewa chakari kanambia utanitoa ten nikamwambia poa. Tukaingia guest nikamushawa viwili vya fasta ndo kama nimemuongezea ulevi nikachukua ten yngu pamoja na bahasha aliyokuwa kajifungua kwenye kitenge nilijua kuna mkwanja kaifungua bahasha nakutàna na RB ya polisi buguruni
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] una roho mbaya we mwanamkeTupo
Nakumbuka kipindi hiko Green Palm Kunduchi inabamba ile mbaya.
Siku hiyo nikaenda nikakutana na jamaa katoka zake mulemule ndani Club kalewa chakari, akanielewa, akaniomba game tuakelewana tukaenda kulala pale gesti karibu na kona ya msikiti.
Tumefika tukapiga game fresh tu.
Nikamwambia kuwa saa 11 alfajiri inabidi nisepe maana nguo niliyovaa sio, akasema hayakuwa makubaliano yetu.
Hapa hutoki mpaka saa 4 Asubuhi ndipo nakukabidhi mzigo wako.
Mie nikatulia kusubiri nimfanyie umafia.
Jamaa kapiga game, akapitiwa na usingizi, kalala fofofo.
Nikaamka nikaanza kumpiga sachi, piga sachi kila sehemu...holaaa
Nikasema huyu simuachi.
Kumbe pesa kaweka ndani ya kiatu, katoa kapeti kisha kadumbukiza kule.
Nikaziona nikabeba nikatia kwenye maziwa.
Nanyata nafika mlangoni, funguo haupo kumbe aliutoa.
Dah!!
Piga sachi tena...nikaupata kauweka chooni chini ya ndoo ya maji.
Nikafungua nikasepa saa 9 usiku.
Kumkomoa nikaondoka na kiatu chake kimoja na mkanda wa suruali.
Nafika home nahesabu pesa, sh 70 elfu.
Nikasema bora hata hivyo.
Yule jamaa sikuja kuonana nae tena.
Buguruni nilikamata kalewa chakari kanambia utanitoa ten nikamwambia poa. Tukaingia guest nikamushawa viwili vya fasta ndo kama nimemuongezea ulevi nikachukua ten yngu pamoja na bahasha aliyokuwa kajifungua kwenye kitenge nilijua kuna mkwanja kaifungua bahasha nakutàna na RB ya polisi buguruni
Sijawahi lala hata lodge mie