Tehtehte,nilimkimbia dem lodge,tulikua tunachat sana insta.na picha zake za insta nying ni kuanzia kifuan,ana sura nzur skatai,..sasa siku ya kumeet,nkamfata had mitaa ya kwao ilikua jion,kabla sjafka kwanza akasema vp,niage home kua sirud?..mmh nkawaza,yaan leo ndo tunakutana mara ya kwanza tuu na hapo hapo unataka mchezo?daah skuzoea mim..nkajib tu poa,sasa nkamfata wakat namsubir aje kwenye gar akawa anakuja ,giza nkawa simwon fresh ila naona kajitu kafup irregular shape,manywele yao mawig maref balaa,akaingia kwenye gar,mikope miref,poda ina haruf kal na perfum kali balaa,..daah sura kajichubua sjui,..daah nilijuta,af alikua na mafua,bas yeye anafuraha kinoma,aisee nkaanza kupanga namwachaje huyu maana nilijua kabsa siwez lala na mtu kama yule kwakwel,..bas nkajifanya nmepigiwa sim ya gafla,nkajiongelesha palee,akanambia daah umeniuz sana,na mi kurud hom siwez bas twende kanilipie lodge we usepe mi ntalala ntarud home,ikabid nifanye hvyo,mi nkasepa zangu home,..yaan sitorudia teena kitu kama hyo