Kama ulishawahi kumkimbia mwanamke lodge tukutane hapa

Kama ulishawahi kumkimbia mwanamke lodge tukutane hapa

Watu wa jf na magari hatari! Hongera kwa kumiliki gari ila kwa awamu hii kunadalili likapakiwa tu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi mapigo mkuu. Enzi hizo bado nayaweza acha saiz nineanza kulegea ilikuwa inasimama mpaka tumbo linauma. Basi nikaita dem wangu wa siku zote akaja kulala mpaka asubuhi. Naye alikuwa anayaweza balaa mtoto wa kihaya. Asubuhi akapika chai tukanywa ikabidi nimsindikize nakumbuka jana yake kuna kischana under 18 kilikuwa kinanifatilia balaa, nikiwa nafundisha computer maeneo ya banana. Basi nikapishana nacho kinakuja kwa kwangu, hakikuniona. Msela nikarudi nikijua kinapita tu na mishe zake, kumbe ndo siku hiyo kiliamua liwalo na liwe na kimeshaaga kinaenda kwa dada yake, na sister mtu keshaambiwa siji kwako na wakikuuliza wambie nipo kwako. Basi nikakikuta kinanisubiri nje. Kuingia kikaanza vurugu mpaka tukaishia kugegedana. Basi huyu nlikuwa namchukulia simpo kumbe mchezo anauweza kuliko hata mchumba wangu. Nilipelekeshwa mpaka saa kumi nikawa hoi. Ikabidi nimtoroke kwamba naenda kununua msosi. Basi nikazuga mpaka saa 12. Kurudi akaniambia umenitoroka eeeh basi siendi home nalala hapa hapa. Shida yangu mashine ilikuwa imesimama balaa ila nimechubuka sana. Basi kakalala bwana usiku sijalala kamesumbua usiku kucha. Baada ya wiki nikamuuzia mshkaji wangu alikuwa anajigamba kuumudu mchezo vilivyo. Kalikaa kwake siku tatu anajipimia jamaa akaamua kukaoa ila nikamzuia akanielewa. Basi huyu dada alishaolewa ila nikizungukia mitaa yake lazima mume atorokwe tena si maramoja, anatorokwa hata siku mbili
 
Duuh nimekumbuka kipindi nasoma undergraduate miaka ya nyuma.. Siku hiyo nilikuwa na ukame balaa wa demu kuna mdada mmoja wa mtaani niliwai kuomba gemu akawa anazingua alikuwa anapenda pesa mnoo.. nikampanga night akatoka akaja maeneo ya riverside hapo nakumbuka nilikuwa na kama 20thousands.. chumba 15 nikamchukulia chipsi mayai 3000 na soda.. nikapiga mzigo.. mida ya saa 7 night nikatoka taraatibu nikasepa nikajua hapa tukiamka asubuhi nakabwa pesa ya supu na nikamblock palepale
 
Nakumbuka ile nimemaliza tu chuo, kama mwezi mmoja au miwili bado network zangu hazisomi vizuri, nikapata mlupo mmoja mkale hatari. Basi siku hivyo nina kama laki mfukoni, nikampanga akakubali, akaniambia tukutane Meridian Kinondoni.

Kufika pale akaagiza Gordon ndogo, mara supu ya samaki, sijakaa sawa bia za kawaida. Mimi nakunywa maji tu, kufika sa 6 keshachoka 60 imekata. Lodge nyingi za kinondoni hasa pale vijana na maeneo ya studio ni kuanzia 30 au 25.

Nikatafta room pale nikakosa kila mahala vyumba vimejaa, ikabidi nichukue bajaj hadi makumbusho, nikapata lodge pale 30, nikampa bajaj 5000, nikabakia na 5000 mfukoni.

Ilipofika sa 12 bado amelala mimi nikamtoroka, nikamuachia 2000 ya nauli mezani.

Baadae nilikuja kumpa pesa kiasi ila alinilaum sana kua hajawahi kuhongwa 2000 maisha yake yote na kukimbiwa gest.
 
Kuna mwingine nilimtoroka gest baada ya kugundua kua nimeingia choo cha kike, ni mbibi.

Yani nilikua bar moja hivi kinondoni, kulikua na birthday part enzi hizo za Kikwete pale bar, mwanamke mmoja akawa anakata mauno balaa, huku nyuma kafungasha balaa ambao ndio ugonjwa wangu mkuu.

Basi nitafta mawasiliano yake nikapata, baadae nikaomba kampani, akakubali, kumbe bwana ni mbibi, yaani ni mtu mzima ila anaonekana na baby face tu. Mtu mzima nikatafta lodge nikamtafune.

Na vile ni usiku sikua nimemuangalia vizuri usoni concentration yangu ilikua nyuma, nikampakia kwenye bajaj hadi lodge, kufika sasa, alipovua nguo ndio nikajua ni mkubwa sana kwangu.

Basi kwa kua nilikua nishalipia lodge nikaona nisipate hasara, nikamtafuna hivyo hivyo kigum gum, baadae alipolala tu kama sa 8 hivi mimi nikamtoroka, nikamuachia 10 mezani.

Haya mambo wewe acha tu.
 
In swala la muda tu, hata guest house hazijai, ukiwa huna pesa hata kusimama haisimami
Hakika.

Kama mimi yani hua mshahara ukiinga tu ndani ya hiyo wiki na wiki inayofuata ni kudindisha tu bila utaratibu, iwe kwenye lift, ofisini, yani we acha tu.

Kama sina hela hua haisimami kabisa. Kusimama kwa uume kuko direct proportional na kua na hela, huna hela inasimamaje?!
 
ndo ivo wanakomoa tu,maana angeomba 20000/= hapo ingekuwa matangazo....nimemtongoza Leo anaomba hela leo
 
AINA YA CHUP,

kwa ufup sana, baada ya kuva sket yake, nilikutana na lichup likubwa jeusi, kaniki sio kaniki, kimoyo moyo najiuliza au ni mganga wa kienyeji? limeshuka chin kama mtoto aliyevaa pempas. Cha kushangaza nikaanza kupiga chafya from nowhere, sikutaka kumshka wala kufungua hata kifungo cha shat langu mana nilishaona hapakaliki hapa, akaniuliza vip nikamwambia nataka nikachukue vocha hapo nje fasta, viatu vilikua ndan kwaio nikivichukua atashtukia dili, nikavaa kandambili kufka reception nduki nikachukua boda jamaa ananiuliza wap sasa nikamwambia haraka haraka wewe twende popote unapoona pana binadamu mana nahc nipo kuzimu, nae alivyo na sifa akaenda kuniacha msamvu na kandambili zangu. Ilikua ndo mara ya kwanza na mwisho kutaman madada poa kwa mihemko.
 
Pole sana mkuu,hawa mademu wa mitandao hasa ista ni artificial mkuu,kwa hiyo ukimuona kapendeza kwenye mtandao unasema bonge nyapu kumbe live unaweza ukajuta kumfahamu kama ilivyokutokea
Ndomana hata hum jf sjawai tongoza dem,siamin kwenye mahusiano na mtu nisiemwona live
 
"weekend mmoja nimepiga mpunga wangu wazali,nikaona siyo mbaya nimtafute mrembo mmoja tukasaidiane matumizi.basi Kuna binti mmoja jirani nilikuwa na mmendea Sana...kumwendea hewani kitu imooo!tukapanga tukutane kiwanja kimoja tabata.mishale ya jioni mrembo huyo kaupara kweli kweli!basi baada ya makaribishi bidada akanza kuagiza ... Savannah..***** Kama kafungwa filter vile ikienda kirudi empty ndani ya masaa 3 Savannah 12 nikasema yarabi Bei ya Savannah 4000.mpaka mishale ya kulala 160000 ishakwisha asbh akili zinarudi 240000 haipo.nikasema usinitanie ww .....brain ika load ..nikamwambia ngoja niende nje nikaandae mazingira ya supu..eeh eh yani alivyo Nipa mgongo bolt kasingiziwa...kilichofata matusi,shombo kibao..nikasema famili lilahi Bora nusu hasara kuliko hasara kamilii....wewe ilikuaje mpaka ukamuacha mrembo lodge?????
[emoji121]

KAMA UNAAMINI KUWA MABILIONI YA #DOCTOR_SHIKA HAYAWEZI KULETWA BONGO-
DUFUA "LIKE" HAPA
ILI TWENDE SAWA!!!

[emoji124][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469]
 
Kwa trend ya nyuzi za aina hii....soon uzi wa waliowahi kukopa K utakua hapa....Anyways next time kuwa makini mangi...
 
Back
Top Bottom