Kuna mwingine nilimtoroka gest baada ya kugundua kua nimeingia choo cha kike, ni mbibi.
Yani nilikua bar moja hivi kinondoni, kulikua na birthday part enzi hizo za Kikwete pale bar, mwanamke mmoja akawa anakata mauno balaa, huku nyuma kafungasha balaa ambao ndio ugonjwa wangu mkuu.
Basi nitafta mawasiliano yake nikapata, baadae nikaomba kampani, akakubali, kumbe bwana ni mbibi, yaani ni mtu mzima ila anaonekana na baby face tu. Mtu mzima nikatafta lodge nikamtafune.
Na vile ni usiku sikua nimemuangalia vizuri usoni concentration yangu ilikua nyuma, nikampakia kwenye bajaj hadi lodge, kufika sasa, alipovua nguo ndio nikajua ni mkubwa sana kwangu.
Basi kwa kua nilikua nishalipia lodge nikaona nisipate hasara, nikamtafuna hivyo hivyo kigum gum, baadae alipolala tu kama sa 8 hivi mimi nikamtoroka, nikamuachia 10 mezani.
Haya mambo wewe acha tu.