Mkuu we acha tu watu tunatoka mbali sanaNkikumbuka hayo maisha sometime huwa machozi yanantoka tu.
Juzi kati majani ya chai yalikuwa yameisha ofisini kwetu so nkawaambia wale wafanyakaz wenzangu masista duu "chomeni sukari fasta tupate chai njaa znatuuma" huwezi amini hawajui kitu kuhusu hii sayansi....
Mama zetu walifanya kazi sana.
Sio uhenga wala nini kuna familia mpaka kesho wanatumia hiyo styleChai sio rangi.
Chai ni majani ya chai.
Ukiunguza sukari unapata rangi inayofanana na ile inayopatikana ukiweka majan ya chai, basi tunajidanganya ni chai!
Aisee kama uliwah kunywa chai ya kuunguza sukari wewe ni MUHENGA !
Enzi hzo tukipewa chai hyo tulikuwa tunaambiwa Leo ni chai Mkono mmoja TU....maanake no mkateHatari sana chai yake tamu aswaaaa kwa enzi zileee