Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balaa....ila tulizoea tuNoma sana aseeee
Hamna kwetu zenji huadimika sukari sio majani ya chaiKwako kwa kishua
Ila tuache mzaha,Kuna kipindi kulikuwa na uhaba wa majani tulifanya hivyo miaka ya 80s
Wenyewe wanaitaga makuzi.Balaa....ila tulizoea tu
Tisa kumi nkaenda Kusoma chimala,mbeya,shule ya Msingi nkakaa na familia fulani wao wasabato chai Yao walikuwa wanachemsha juisi ya chungwa tu,manani ya chai Kwao mwiko,Hata soda pia nooo....
Wengine tumepitia mchanga wa chuma Nahsi ndomana tumekuwa manunda mkuu
Ova
Alafu familia unayokaa nayo baba ngonda Mama kauzu hapo sasaWenyewe wanaitaga makuzi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Umenikumbusha geto salio likikata.. Wewe ni muhenga tu, ila kuna wahenga tulikua shamba siku moja kwenye mavuno basi tulipokosa majani ya chai walichukua majani mabichi ya mti wa limao wakachemsha, ile chai ilikua tamu sana. Tangu siku ile sikua nikibeba majani ya chai shamba.
Kuna mwanafunzi aliulizwa swali na mwalimu wake. 'Kamau, babako akikopa shilingi elfu saba kwa jirani kisha akope elfu tisa kwenye benki, atalipa deni la shilingi ngapi kwa ujumla?' Kamau akasema sufuri. Mwalimu akarudia tena 'elfu saba kwa jirani, elfu tisa kwenye benki. Deni la babako litakuwa la shilingi ngapi?' Kamau akasema tena, 'sufuri.' Mwalimu akajawa na hamaki akamwambia Kamau, 'we kijana hujui hesabu hata kidogo!' Kamau naye akamjibu, 'si eti sijui hesabu mwalimu, wewe ndo humjui babangu!' 😀😀😀
Ndio, ilikuwa sukari inaunguzwa inapatikana chai maridadi sana
kisha unapaka sabuni mwilini yaani mbadala wa mafuta
safari ya shule inaanza. Mimi mara moja moja huwa nafanya mpaka leo
Shule Ilikuwa kwenda kuwapora watoto wa kishua vilunch box vyao.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Noma sana