Ndo nashangaa kwanza hilo daftari Wala sio la kitambo kama limeenda sana ni 2010 [emoji81]Mbona sijaona "Haliuzwi"?
Sadiki na Chitemo ni Juzi tu kitambo ni Sadiki na SikiriSadiki na chitemo
Muwa uliozamisha Meli
GULIONI KATERERO!
Sizitaki mbichi hizi.
Mkuu,bulga maziwa ya unga na galoni ya mafuta ya kula umetumia?
Haaha kipindii cha mwinyi, mkapa kidogo hali ilianza Anza kutengemaa..Wakati wa mfumo wa chama kimoja na zidumu fikra za mwenyekiti enzi za dhiki na mateso.
Mwaka 1994 ulikuwa bado uko kiunoni!wewe wajuzi kumbe
Mwaka 1994 ulikuwa wapi?Sadiki na Chitemo ni Juzi tu kitambo ni Sadiki na Sikiri
Uongo! mfano CCP - Moshi kulikuwa na TVAisee umenifurahisha sana, aisee eti alikuwa mjanja mjanja.
Ila kweli yawezekana haya maneno aliyaiba kipindi kile yeye pekee tu ndio anamiliki TV bongo nchi nzima.
If I have seen further is by standing on the shoulders of the Giants....; Unaweza kutupa word by word (ad verbatim) walivyosema hao wadau ?Nyerere alikua mjanja mjanja sana haya ni Maneno ya john Dewey na paulo freire "education as liberation"
Hali ilikuwa ni mbaya sana barabara ya kati ilikuwa ni vumbi tupu usafiri wa shida kile kipindi ndio nilikuwa naanza kazi ya udereva wa transit goods Dar Kigali wiki mbili hadi tatu.Haaha kipindii cha mwinyi, mkapa kidogo hali ilianza Anza kutengemaa..
Maana watu walikua wanavaa viraka.. shule kulikua na cost sharing.... KUTEMBEA UMBALI MREFU pia shule watu wanaenda PEKUPEKU
Hataree sanaaHali ilikuwa ni mbaya sana barabara ya kati ilikuwa ni vumbi tupu usafiri wa shida kile kipindi ndio nilikuwa naanza kazi ya udereva wa transit goods Dar Kigali wiki mbili hadi tatu.
CCM walianza kufanya kazi baada mfumo wa vyama vingi kuja kuwatia jamba jamba😁Hataree sanaa
Maisha yalikua gizani sana sanaa 😊CCM walianza kufanya kazi baada mfumo wa vyama vingi kuja kuwatia jamba jamba😁
🤣🤣🤣 kwamba 1994 nilikuwa kiunoni? nanijua kwani, huo mwaka ndio namaliza shuleMwaka 1994 ulikuwa bado uko kiunoni!
Sasa hivi unaniita mtoto wa juzi!? Kipindi hiyo nasoma nilivyoviandika!.... ama unadhani vimeandikwa juzi hivyo?!
Nasubiri na sisi wa Daftari la Jamaa.
Na unadhani leo bila mchina kumwaga kila kitu kwa bei ya kutupa ungekuwa unavaa nini ? Sababu tukiongelea viwanda vyote vimeshakuwa magofu na bado kila kitu unalipia !!!! Tatizo huenda hata hatujui wajibu wa Mwenye Nchi na Na Serikali (Sasa hivi unakamuliwa na hakuna value for money / Kodi unayotoa)Haaha kipindii cha mwinyi, mkapa kidogo hali ilianza Anza kutengemaa..
Maana watu walikua wanavaa viraka.. shule kulikua na cost sharing.... KUTEMBEA UMBALI MREFU pia shule watu wanaenda PEKUPEKU