Umsolopagaasi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 940
- 975
bado mtoto dogo wa mwisho 87Miaka ya 70's mpaka late 90's wewe unaita juzi.
Kuna last born wetu kazaliwa 1999 UNADHANI ni juzii...
Siku zimekimbia sanaa
bado mtoto dogo wa mwisho 87Miaka ya 70's mpaka late 90's wewe unaita juzi.
Kuna last born wetu kazaliwa 1999 UNADHANI ni juzii...
Siku zimekimbia sanaa
😁 Huyu last born wa 99 tumemkata miaka mingi sanaaa yaan Kuna great leap kutoka sisi mpaka yeye.bado mtoto dogo wa mwisho 87
Kwa mtindo huu aise humu JF upo na wajukuu zako na watoto wako.Hali ilikuwa ni mbaya sana barabara ya kati ilikuwa ni vumbi tupu usafiri wa shida kile kipindi ndio nilikuwa naanza kazi ya udereva wa transit goods Dar Kigali wiki mbili hadi tatu.
Ila Nyerere alikuwa janjaro fulani hivi 😂Kwamba hizo concept alikuja nazo Fredrick Douglass kabla yake watu walikuwa hawajui impact ya poverty na kutokuwa na justice ?!!!
Hizo ni concept ambazo zipo wazi mtu anazitumia kulingana na hadhira ya wakati husika na anachokiongelea ili kufikisha ujumbe; Kama nilivyosema mwanzo wato unaowaona wameona mbali zaidi ni sababu ya kusimama kwenye mabega ya (Giants); Case in point hapa juzi tu nilikuwa naongea issue moja nikatoa msemo wa It does not matter if a Cat is Black or white so long as it catches Mice...; - akasema ni Deng Xiaoping ndio alisema na alimaanisha jambo lingine (nikamuelewesha huyu mtu hata yeye ndio alifanya msemo ukawa popular lakini msemo huu ulikuwepo kitambo na kutumiwa na watu wa China)
Moral of the story: wewe kama ni mpishi na unapika pishi (kuelezea watu wako mambo tofauti) sio mbaya ukatumia ujuzi na vikorombwezo vya wapishi wengine wakali duniani ili kuleta radha tamu zaidi... Upuuzi ni kuacha kutumia hizo ingredients wakati zipo na unaweza kuzitumia - Na ukiangalia hata hizo ingredients sio za hao unaosema bali na wao wamezitoa pengine kutokana na experience na happenstances.... Leo hii kila tukisema za kuambiwa changanya na zako (tukihusisha na Kikwete) au Better one step forward with the people than ten steps without! - Tukihusisha na Sankara kutokana na Speech yake aliyotoa ila msemo huu ni widely used duniani
Naam lazima uwe mjanja na kuwa kwako mjanja ndio uongozi wenyewe after all kiongozi ni mtu anayetakiwa kuunganisha nguvu za wengi ili muweze kwenda sehemu moja (getting the most out of people); hence I would rather have mtu anayesoma kila siku na kuja kutupa motivation ili tuweze kwenda mbali kuliko asiyejua / asiyesoma (hivyo hata haelewi mambo yanavyokwenda) au yule anayeleta dharau na kutokutoa a feel good factor... : Give me theluthi ya kina Nyerere anyday (kuliko hata kina Trump kumi ambao ni uninformed na wana memory retention ya a 5 year old)Ila Nyerere alikuwa janjaro fulani hivi 😂
Kumbe wewe Mzee😂🙌Watoto wajuzi kina Harmful Chica Gee Intelligent businessman Selikavu Edo kissy Razorblade hawawezi kuvijua hivi vitu, sisi wazee wenu tumesoma tukiwa chini ya miti 😁😎
mi wa kitambo mno 1959 ndo nimezaliwa 😎Kumbe wewe Mzee😂🙌
Shikamoo mkubwa.mi wa kitambo mno 1959 ndo nimezaliwa 😎
Marhaba kijanaShikamoo mkubwa.
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe 😂🙌Marhaba kijana