Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Naisoma mkuu, kwaio kwa Sasa mkoloni mweusi...anakamua Kila mahali..Na unadhani leo bila mchina kumwaga kila kitu kwa bei ya kutupa ungekuwa unavaa nini ? Sababu tukiongelea viwanda vyote vimeshakuwa magofu na bado kila kitu unalipia !!!! Tatizo huenda hata hatujui wajibu wa Mwenye Nchi na Na Serikali (Sasa hivi unakamuliwa na hakuna value for money)
Nimeona niulize haya sababu kinachoendelea inabidi ukiangalie kwa macho yako na sio kusikiliza kinachosemwa.... Sababu Siasa zishakuwa Ulaghai;
Siasa Mamboleo - Mdomo unapojaribu Kulidanganya Sikio
Siasa na Propaganda zimekuwa zikifanyika tangia enzi...; ila imefika wakati watu kujaribu kukwambia kwamba nyeusi ni nyekundu yaani wanadhani wakitamka mara nyingi zaidi hata wao wenyewe mdomo wao utali-convince sikio lao... Angalizo kwa hawa watu ukiwa ni mtu wa kusifia bila kupinga utaondoa...www.jamiiforums.com
Je Mwananchi ni Mwenye Nchi ?
Sidhani, huyu jamaa field hana maamuzi, hata wale ambao hata kama akiwachagua wamuwakilishe na kumtetea (wabunge) ni kama wamekuwa watetezi na wapiga propaganda wa Serikali
Je Mwananchi ni Nguvu Kazi ?
Iwapo huyu mtu hata katika kutafuta skills (ujuzi) hapewi grants na anakopeshwa ili aje kudaiwa (na...
- Logikos
- chanzo cha mapato kazi kitega uchumi mapato mwananchi nchi nguvu serikali swali uchumi
- Replies: 1
- Forum: Jukwaa la Siasa
Braza Shikamooo ππWatoto wajuzi kina Harmful Chica Gee Intelligent businessman Selikavu Edo kissy Razorblade hawawezi kuvijua hivi vitu, sisi wazee wenu tumesoma tukiwa chini ya miti ππ
Oya Chica Gee huyu shabiki wa asenyo analeta Ugomvi wa mawe π π πWatoto wajuzi kina Harmful Chica Gee Intelligent businessman Selikavu Edo kissy Razorblade hawawezi kuvijua hivi vitu, sisi wazee wenu tumesoma tukiwa chini ya miti ππ
Kwamba π πWatoto wajuzi kina Harmful Chica Gee Intelligent businessman Selikavu Edo kissy Razorblade hawawezi kuvijua hivi vitu, sisi wazee wenu tumesoma tukiwa chini ya miti ππ
Maneno haya alikua akisema kwa babu zetu walikua wanamuona nabii na jiniasi kumbe anaquote watu bila acknowledgement. Hii ni plagiarism iwe ni paraphrasing au direct quote kifupi ni tapel wa zaman enzi za kizaIf I have seen further is by standing on the shoulders of the Giants....; Unaweza kutupa word by word (ad verbatim) walivyosema hao wadau ?
Better still busara ni kutumia chochote na lolote kutoka mandhari yoyote kama linaendena na hadhira yako; kutoa huku na kule na kuweza ku-apply katika maisha yako be it a concept au nukuu kutoka kwa bibi yako au nyumba ndogo.... (and that can be achieved kwa kupenda kusoma na kusikiliza watu tofauti na sio uvivu) tukianza kusema who said what and when hata hao uliotaja hio concept sio ya kwao (it's common sense hivyo naweza kusema idea kama hii ipo tangia the beggining of schools / learning institutions...)
Kwahio akiongea na babu zenu aanze kuchambua maandiko ya nani sijui kasema wapi na qoute namba ngapi ? Nimekuuliza unisaidie kuleta hilo walilosema hao ambao umesema Ad Verbatim ili tuone jinsi alivyochukua kutoka kwao.....; By the way kama mwalimu alikuwa na hadithi nyingi sana ambazo alikuwa akizisema na kuelezea kabisa zimetoka wapi iwe kwenye Bible au kiongozi wa popote pale.....Maneno haya alikua akisema kwa babu zetu walikua wanamuona nabii na jiniasi kumbe anaquote watu bila acknowledgement. Hii ni plagiarism iwe ni paraphrasing au direct quote kifupi ni tapel wa zaman enzi za kiza
Lkn ni shujaa wa taifa letu daima
Maelezo yako yote hayaondoa uzto wa hoja yangu ya wizi wa kitaalumaKwahio akiongea na babu zenu aanze kuchambua maandiko ya nani sijui kasema wapi na qoute namba ngapi ? Nimekuuliza unisaidie kuleta hilo walilosema hao ambao umesema Ad Verbatim ili tuone jinsi alivyochukua kutoka kwao.....; By the way kama mwalimu alikuwa na hadithi nyingi sana ambazo alikuwa akizisema na kuelezea kabisa zimetoka wapi iwe kwenye Bible au kiongozi wa popote pale.....
Narudia tena If I have seen further is by standing on the shoulders of the giants (which he did) tofauti na current leaders wanajificha kwenye migongo ya propaganda huku wakila jasho la walipa kodi
Ili tuweze kumshika mwizi tuanzie pale ambapo wewe umegundua ameiba sasa kwa manufaa yangu pia kujifunza unaweza ukanisaidia kuleta hio qoute hao watu ad verbatim walichosema tuone kwamba aliiba ? Na tuhakikishe kwamba sio amechukua concept (ambayo ipo wazi na inajulikana) au amechukua qoute ambayo nina uhakika niki-dig deep down naweza kuona ipo attributed kwa mwingine pia....Maelezo yako yote hayaondoa uzto wa hoja yangu ya wizi wa kitaaluma
Note: sijasema Nyerere mwanasiasa mbaya
Hahahahahahahaha mkuu hapo kwenye "Soda mwala"Haaaha...
Andika wosia kama uliona/ tumia ivi vifwatavyo..
Bia bingwa
Soda mwala
Chai jaba
Chopeko na minofu
Hawafu mwenye nguvuuuuuuuu
Juma na uledii
Chupi za vip
Enzi za kipande CHA baiskeli
Kodi ya kichwa
Maduka ya ujamaa
Kula wali mpaka sikukuu
Kunywa soda mpaka uumwe/ uende ugenini
Kwa uchache sanaa
Wahenga tuko wengi sana humu , ongezea, "sizitaki mbichi hizi"Kitambo sana....
Kibanga kampiga mkoloni.
Adili na nduguzee
Mpiga filimbi wa hamelini
Sungura mjanja
π Siku hazigandiWahenga tuko wengi sana humu , ongezea, "sizitaki mbichi hizi"
Ndio icho kipindii watu wafupi waliitwa..Hahahahahahahaha mkuu hapo kwenye "Soda mwala"
Umetisha
Hio ni plagiarism acha ngonjera zako uje na hoja thabiti za kutetea, alichofanya Nyerere ni paraphrasing tu na haiondoi kama ni wiziIli tuweze kumshika mwizi tuanzie pale ambapo wewe umegundua ameiba sasa kwa manufaa yangu pia kujifunza unaweza ukanisaidia kuleta hio qoute hao watu ad verbatim walichosema tuone kwamba aliiba ? Na tuhakikishe kwamba sio amechukua concept (ambayo ipo wazi na inajulikana) au amechukua qoute ambayo nina uhakika niki-dig deep down naweza kuona ipo attributed kwa mwingine pia....
Mkuu what where the actual words said by hao unaosema ili tumshike mwizi vizuri....Hio ni plagiarism acha ngonjera zako uje na hoja thabiti za kutetea, alichofanya Nyerere ni paraphrasing tu na haiondoi kama ni wizi
Alikuwa anasoma vitabu ndio ujanja wenyeweNyerere alikua mjanja mjanja sana haya ni Maneno ya john Dewey na paulo freire "education as liberation"