Kama ulitumia hili Daftari shule ya msingi anza kuandika wosia

bado mtoto dogo wa mwisho 87
😁 Huyu last born wa 99 tumemkata miaka mingi sanaaa yaan Kuna great leap kutoka sisi mpaka yeye.


Salute kama last born wenu 87's ila ISIJE KUA PENGINE LAST BORN NI WEWE MWENYEWE πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hali ilikuwa ni mbaya sana barabara ya kati ilikuwa ni vumbi tupu usafiri wa shida kile kipindi ndio nilikuwa naanza kazi ya udereva wa transit goods Dar Kigali wiki mbili hadi tatu.
Kwa mtindo huu aise humu JF upo na wajukuu zako na watoto wako.
Endelea kutoa kumbu kumbu za nyuma.
Eti mtu wa 1994 anasema ni wazamani? ila ni kweli kwa yeye hiyo ndio zamani yake.
Humu wako watu ambao hata utawala wa mzee Ruksa wanausikia kama historia
 
Ila Nyerere alikuwa janjaro fulani hivi πŸ˜‚
 
Ila Nyerere alikuwa janjaro fulani hivi πŸ˜‚
Naam lazima uwe mjanja na kuwa kwako mjanja ndio uongozi wenyewe after all kiongozi ni mtu anayetakiwa kuunganisha nguvu za wengi ili muweze kwenda sehemu moja (getting the most out of people); hence I would rather have mtu anayesoma kila siku na kuja kutupa motivation ili tuweze kwenda mbali kuliko asiyejua / asiyesoma (hivyo hata haelewi mambo yanavyokwenda) au yule anayeleta dharau na kutokutoa a feel good factor... : Give me theluthi ya kina Nyerere anyday (kuliko hata kina Trump kumi ambao ni uninformed na wana memory retention ya a 5 year old)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…