Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
It has best mixture of genres. Na akili imetumika sana, na wewe ambaye unaifuatilia inabidi utumie akili kuielewa.If you rewatch it you will understand. I would recommend taking it slow.Ma mke mbona mm nashindwa kuiinjoi..Mimi napenda series akili itumike sana sana. Sio vitendo tu
Na inahitaji utulivu.. kuna jamaa nilimpa aangalie.. alikua ni mtu wa kuangalia series anachat hakumaliza hata season 1 ikamkera..Kama akili yako ni "ndogo" usipoteze muda wako kuangalia series ya "The Lost".
Utapoteza muda wako.
Viking niliangalia mpk S3 kama sijakosea King Ragnar alivyoanza kuzingua na kubatizwa nikaacha kuichek. Vp wale watoto wake waliendeleza vzuri?Achana na Last ship itakuboa tu Anza na Viking mzee utajua wapagan walivo wasurubu wakristu wa England na France bonge moja la series kama umeielewa GOT bac Viking ndo mahara pake lost niliona mpak season 2 mwanzon mwanzon tu nikatupa season 1 kiukwel iko hot
Lost iliyotengenezwa na J.J.Abrams mastaa ni Evangeline Lily na jamaa anaitwa Jack
mkuu kaitafute mapema uko mbele regnar akifa watoto wake ni fire 🔥🔥🔥lakn ivar the boneless yule dogo mremavu anakuja kuwa Viking hatari kushinda hata baba ake anatawala Scandinavia yooote wa England wa wassex walikipata cha moto jamaa alikua na battlefield tactics za ajab kinouma saizi wanagombania ufalme Bron ironinside na Ivar the boneless dogo kaja na jeshi la Russia tunasubil final seasonViking niliangalia mpk S3 kama sijakosea King Ragnar alivyoanza kuzingua na kubatizwa nikaacha kuichek. Vp wale watoto wake waliendeleza vzuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Series ya Lost ni nzuri ukiiangalia ukiwa umetulia ila mwishoni mwishoni walikosa waliniboa walikosa wahusika ikabidi wajirudie rudie mpaka ambao walishakufa...
Mwanzo ni mzuri coz hujui what event come next japo mtunzi katumia mtindo wa kuchanganya mwisho kuwa mwanzo na mwanzo kuwa mwisho inahitaji utulivu uielewe
Lost ipo kati ya series zangu 3 bora..
Ni series ambayo unatakiwa utulie sana kuelewa.. ukicheza kidogo wanakuacha mazima..
Ni series flani utakuta mixer ya kila kitu unachofikiria kama time travelling ,parallel universe, uchawi uchawi , adventure , some action , mapenzi.
Yaani lost ukitulia kuiangalia ni series flani ambayo ni PERFECT..ina kila kitu mtu anachotaka..
Pole sana kama hujaipenda lost..
Kushusu The last ship.. ipo kwenye top 5 zangu.. ni series kali sana. Kama unataka Action za kibabe na zenye story inayoeleweka cheki Last ship..
Sema hivi ,akili ndogo..hyo series kama una akil za kuangalia tamthilia za kikorea au muv za kihind or bongo huwez ipenda hyo
Series inataka utulie usikilize neno moja moja...
Wanasema ile ndege ya malaysia ndo ilitoweka kwa style ile,na ndege znazotoweka kwenye Bermuda Triangle
Hyo series inaeleza conspiracy theories nying sana kama
1.time travel
2.illuminati
3.magnetic field spectrum
4.Bermuda Triangle
Kama akili ndogo huwez ipenda hata sku1
Utapenda series za kupigana pigana tu na ma zombie
Comment tayar
Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao.
Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack Snyder,D.Weiss&D Benioff ila kwa hii series Kaniangusha sana.
Mlio isifia hii series hongereni kwa kunipotezea muda!!
Uliyenishauri kutizama G.OT Ahsante sana..nitakusifu siku zote.
Haya niambieni kati ya Last Ship na Viking niangalie ipi?