Lost ipo kati ya series zangu 3 bora..
Ni series ambayo unatakiwa utulie sana kuelewa.. ukicheza kidogo wanakuacha mazima..
Ni series flani utakuta mixer ya kila kitu unachofikiria kama time travelling ,parallel universe, uchawi uchawi , adventure , some action , mapenzi.
Yaani lost ukitulia kuiangalia ni series flani ambayo ni PERFECT..ina kila kitu mtu anachotaka..
Pole sana kama hujaipenda lost..
Kushusu The last ship.. ipo kwenye top 5 zangu.. ni series kali sana. Kama unataka Action za kibabe na zenye story inayoeleweka cheki Last ship..